Viongozi Kiserikali kutoka Mkoa wa Mara

Viongozi Kiserikali kutoka Mkoa wa Mara

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
DPP mpya Mh Biswaro Mganga,mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof. Muhongo, Mh. Wasira, mwenyekiti wa rasimu ya katiba mh. Warioba, mh. Anthony Mtaka wote wanatokea mkoa wa Mara.

Misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndio sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara.

Wassira for presidency 2015.
 
DPP mpya Mh Biswaro Mganga . mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof Muhongo, Mh Wasira, mwenyekiti wa rasmu ya katiba. mh waripba wote wanatokea mkoa wa mara

misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndo sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara

Wasira for presidency 2015

akili za kimpumu na gongo,
 
Hivi kuna sababu yoyote kwa nchi ilipofika kupigia debe mtu kama wasira kuwa rais kweli..?wakati mwingine tuone aibu...upambe unazidi

politics is a game ofconvicng. hamna mtu wa ushawishi ndani ya ccm kama Mh Wasira. na huwezi kuwa na ushawishi kama hujui mambo

Wasira for presidency 2014
 
DPP mpya Mh Biswaro Mganga . mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof Muhongo, Mh Wasira, mwenyekiti wa rasmu ya katiba. mh warioba, mh Anthony Mtaka wote wanatokea mkoa wa mara

misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndo sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara

Wasira for presidency 2015
Bahati mbaya sana kwako ni kwamba, biswalo mganga ni mkala wa UKEREWE, ukerewe iko mwanza sio mara. hivyo kama wasira ametoka ukerewe mkoani mwanza ndio uendelee kuongea. kwa habari ya usafi, yap, ni msafi na yuko very strict.
 
Wakara ni wajita tu kaka/dada kila kitu sawa tu na anatomy ya kule ni kwamba wanatenganishwa na maji tu

hata majina yao yanafanana
 
Post nyingine bana upuuz tu yaani mnanadi ukabila bila hata aibu wapuuzi kweli nyie mnaokoment kwa kuangalia geographical area ya hao watu! hivi anaenda kutambika huko kwa DPP au kufanya kazi? bure kabisa
 
politics is a game ofconvicng. hamna mtu wa ushawishi ndani ya ccm kama Mh Wasira. na huwezi kuwa na ushawishi kama hujui mambo

Wasira for presidency 2014

Mmmmh.
Kwa akili yako Wassira nae anafaa urais.labda Rais wa Comedy
 
Mmmmh.
Kwa akili yako Wassira nae anafaa urais.labda Rais wa Comedy

Mkuu Kubwela uko wapi kwa sasa,I know you aisee.Unajua Kikwete na Ccm yake wameufanya urais kuonekana ni kitu rahisi sana,hawajui kuwa uraisi ni mzigo.
 
Tunakwenda wapi jamani Watanganyika wenzangu badala ya kujadili uwezo wa mtu kumudu majukumu, mtu bila haya unaleta uzi wa kusifia Mkoa au Kabila fulani. Huu ni ubaguzi ukiachwa uendelee utatufikisha pabaya
 
Hivi anayempigia debe Wasira Kuwa president anakuwa binadam Au naye ni walewale? Hatutaki kupata Ajabu lingine la dunia.
 
DPP mpya Mh Biswaro Mganga,mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof. Muhongo, Mh. Wasira, mwenyekiti wa rasimu ya katiba mh. Warioba, mh. Anthony Mtaka wote wanatokea mkoa wa Mara.

Misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndio sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara.

Wassira for presidency 2015.

Acha ufala . Biswalo Mganga Nina uhakika ni kutoka ukerewe na sio mara.
 
Back
Top Bottom