assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Asilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...
Inaweza kuwa kweli hiiCWT vingozi wake wengi ni walimu wa shule za msingi,na huw wanapigia kura wakifkiria kushindana na walimu wenye diploma°ree....wakipata madaraka ndio hao kila kitu wanaona sawa tu...fyuuumh!!
Asilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...
Plus ana mkopo bank...Hadi pale walimu wa Tanzania watakapoamua kuiga chama cha walimu wa Kenya ndipo watajikomboa
Hakuna mtu awezaye kugoma bila kuwa na uhakika wa kula maana walimu wengi mshahara wa mwezi unaisha tarehe 7 sasa nani agome wakati hana hata sh elfu moja? .
Wengi wao Bashite style
Hajasoma nini na wewe...... Waalim wa prmry c wale waliofeli au! Na wanajiendeleza kimagumash ivoivo wanaenda sec.mkuu umesoma kweli ninawasiwasi na elimu yako