kweli ccm ni wapuuzi, maana hata maswali wanayouliza ni ya kipuuzi tu.
Sisi ccm ni wapuuzi. By kinana.
Mkuu unaulizia chama unachosemaga kimekufa?? Pole mpuuzi.
pole sana mpuuzi unabishana na maneno ya katibu wako mkuu?? Nikuripoti ukose kibarua hapa cha buku 7. Katibu wako amesema hivi " sisi ccm ni wapuuzi"
sasa wewe msukule una ujasiri wa kumpinga katibu wako mkuu.??.. Hujui utatoswa hata hiyo buku 7, au nikuitie vuta ni kuvute akunyang'anye hiyo id, na tablet.... Huwezi kubadilika wewe ni mpuuzi tu,
toeni hizi picha za wapuuzi wa ccm hapaobama wa bongo kweli hao watoto walitakiwa shule lakini chadema wakawatumia kwenye siasa, wenzio hapa chini wao walishamaliza skuli kitambo sana.
hao watoto walojazana hapo mbele nao washamaliza skuli.
View attachment 193035
uyu alobeba bendera keshamaliza skuli
View attachment 193034
kila siku ninasema hila kwa sasa haina nafasi huu ni wakati wa uwazi na ukweli,kwa nini ccm mnashindwa kujifunza? kuepukana na hila
Chadema wawashukuru CUF angalau hata wameambualia kuikanyaga Pemba, wanajua kuitumia fursa na nyie CUF mtakapokuja kujua kwamba mnatumiwa na Chadema mtakua mmechelewa, ngoja tuone mwisho wa hekaya hii
teh teh teh kwani dj mboowe alivyombandua yule mbunge wa kuteuliwa ndio kakubandua na wewe? So hiyo ni kauli yake tu sio sheria!
Nashangaa maana chadema na pemba wapi na wapi? Labda kuvua samaki.
They look smart. I admire their cloth color which is also favorable national color in 2015. Tutazivaa sana, kama mnajichimbia kaburi anza mapema...no jock in serious political matters like our Katiba. Chezea sehemu nyingine sio katiba!