1.MIZENGO PINDA..
Anadanganya watu kua yeye ni mtoto wa mkulima sio fisadi hata hatembelei shangingi huku sio kweli yani hadi mda mwingne anajifanya anaenda kukopo milioni 10 bank kuzuga watu..
2..SAMWELI SITTA
anajifanya hapendi ccm na hayupo nao kumbe ni mwongo pia hata yeye anajifanya sio fisadi huku tunajua majumba yake na rasilimali nyingi anazomiliki
JAKAYA MRISHO KIKWETE
anajifanya kunda tume ya mabadiliko ya katiba KUMBE ASHAANDAA KATIBA YA CCM
4..ZITO KABWE....
ongeza wengne