Viongozi 22 wa kitaifa CHADEMA kuzindua kampeni kanda ya Kaskazini

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Viongozi 22 wa kitaifa wa Chadema wanatarajia kushiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne za mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro kuanzia kesho.

Kampeni hizo zitazinduliwa kwenye Kata ya Duni, mjini Babati ambako chama hicho kimemteua Ally Muhidini kugombea udiwani.

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Aman Golugwa amesema watazindua kampeni kwa kila kata ikiongozwa na viongozi wa kitaifa na wabunge.

Golugwa amesema wabunge 22 wa Chadema Kanda ya Kaskazini wamepangwa kusimamia kata hizo na kwamba wanne watakuwa katika kata moja. Pia, madiwani 352 wa chama hicho katika kanda hiyo watashiriki kwenye kampeni.

“Tumejipanga kushinda kata zote, katika uchaguzi uliopita tulishinda kata moja tu kati ya hizi nne,” amesema.

Golugwa amesema uzinduzi wa kampeni kwenye kata nyingine tatu utatangazwa baadaye. Hata hivyo, amesema wameshaanza kampeni za nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha Januari 22 wanashinda viti hivyo.

CHANZO: Gazeti la Mwananchi
 
It's well and good for northerner zone to get first priority on manpower and funds during campaign but when it comes to demonstration, the other zone gets the first priority!

This is CHADEMA's way of doing politics!

Yaani kata nne ambazo ziko kwenye eneo linalojulikana kama ‘’ngome ya CHADEMA’’ zinapewa viongozi 22 wa kitaifa na wabunge wakati wa kampeni. Mwingine anaweza kusema, this is favouritism and misallocation of party resources!

Mimi ninasema, uongozi wa juu wa CHADEMA umefikia kikomo kwa sababu umekosa focus na maarifa ya kukisukuma chama mbele zaidi.
 
It's well and good for northerner to get first priority on manpower and funds during campaign but when it comes to demonstration, the lake zone gets the first priority!

This is CHADEMA's way of doing politics!

Yaani kata nne ambazo ziko kwenye eneo linalojulikana kama ‘’ngome ya CHADEMA’’ zinapewa viongozi 22 wa kitaifa na wabunge wakati wa kampeni. Mwingine anaweza kusema, this is favouritism and misallocation of party resources!
mikakati mibovu halafu utasikia wanalalamikia tume,kun haja gani ya kupiga kampeni''kwenu''unakobalika badala ya kwenda usikokubalika ili uuze sera na ujiwekee akiba ya baadaye ,makosa yaleyale ya kupita na helicopta wakati wengine wakikata mbunga barabarani.
 
CHADEMA Ina udhaifu wa uongozi
 
Lake zone mlishafanya demo gani kuwazidi Arusha?
 
It's well and good for northerner to get first priority on manpower and funds during campaign but when it comes to demonstration, the lake zone gets the first priority!

This is CHADEMA's way of doing politics!

Yaani kata nne ambazo ziko kwenye eneo linalojulikana kama ‘’ngome ya CHADEMA’’ zinapewa viongozi 22 wa kitaifa na wabunge wakati wa kampeni. Mwingine anaweza kusema, this is favouritism and misallocation of party resources!

Kanda ya ziwa tushawashtukia wanapenda kuleta maandamano.
Waandamnie hukohuko
 
It's well and good for northerner to get first priority on manpower and funds during campaign but when it comes to demonstration, the lake zone gets the first priority!

This is CHADEMA's way of doing politics!

Yaani kata nne ambazo ziko kwenye eneo linalojulikana kama ‘’ngome ya CHADEMA’’ zinapewa viongozi 22 wa kitaifa na wabunge wakati wa kampeni. Mwingine anaweza kusema, this is favouritism and misallocation of party resources!

Wabunge wa Ccm walivyogawana milioni 10 nyie mlipewa nini? Endeleeni kuwa toilet paper.
 
Kaskazin TaYari watan mnamizizi imara kwanini msiende Magharib ambapo msingi umeweka nYufa baada Ya mzito kuondoka au Kusini kule ....Chama cha kushika dola lazma kiwe na Nguvu kanda kazaa kazaaa
Chadema kama Institution inahitaji kujifanyia Self Assessment maana kwa sasa inaonekana kuwa Chama ni viongozi hao wachache walio karibu na Mwenyekiti. Pasipo kuziba makovu ya uchaguzi wa ndani wa chama chenu, Mbowe na timu yake wasijidanganye kuwa kutakua na kusonga mbele. Watabakia viongozi wa majukwaani na matamko kama wanavyoambiwa. Hivi kwa nini baadhi ya hizo resources zisitumike kufanya mikutano ya hadhara ya kujitathmini? wako wapi wale maelfu ya vijana waliokua wanasukuma magari ya viongozi wakati wa kampeni ya kumnadi mgombea wao? Hivi ni kweli hawana kitu wala hisia yoyote kwa wakati huu? Kwa nini Mbowe na kundi lake hawaigi hata machache yanayofanywa na wapinzani wao? Tumeona Mwenyekiti wa CCM akiongea kwenye mkutano wao mkuu juu ya mabovu ya chama chao na kutangaza wazi kuwa vyeo kama vya Makamanda wa Vijana ( ambao ni wazee wakutupa anyway) na wenyeviti wa wenyeviti ni abomination, pasipo kujali kuwa hao waliovishika wananguvu kiasi gani ndani ya chama chao. The time has come when Mbowe and Chadema wafahamu kuwa kujifunza hakuna mwisho. Leo hii tamko la mikutano mikubwa kwa kugombea udiwani? mbona hao watu waliweza kuteka hizo nafasi pasipo nguvu za the so called the giants. Its just that kwa sisi tunaosoma sana kila habari matangazo ya Chadema ni kama an anti climax. Najua kuna wanaoweza kusema dada anatafuta kick aonekane, si kweli, tuambiane ukweli jamani hata kama sisi ni marafiki, au ndugu ili tupate kuwa bora zaidi kila siku. kwa sasa hivi tutake tusitake Chadema siyo news kwa anybody including Chadema wenyewe maana tunao mtaani na tunawasikia wanavyolalama.
 
Chadema kama Institution inahitaji kujifanyia Self Assessment maana kwa sasa inaonekana kuwa Chama ni viongozi hao wachache walio karibu na Mwenyekiti. Pasipo kuziba makovu ya uchaguzi wa ndani wa chama chenu, Mbowe na timu yake wasijidanganye kuwa kutakua na kusonga mbele. Watabakia viongozi wa majukwaani na matamko kama wanavyoambiwa. Hivi kwa nini baadhi ya hizo resources zisitumike kufanya mikutano ya hadhara ya kujitathmini? wako wapi wale maelfu ya vijana waliokua wanasukuma magari ya viongozi wakati wa kampeni ya kumnadi mgombea wao? Hivi ni kweli hawana kitu wala hisia yoyote kwa wakati huu? Kwa nini Mbowe na kundi lake hawaigi hata machache yanayofanywa na wapinzani wao? Tumeona Mwenyekiti wa CCM akiongea kwenye mkutano wao mkuu juu ya mabovu ya chama chao na kutangaza wazi kuwa vyeo kama vya Makamanda wa Vijana ( ambao ni wazee wakutupa anyway) na wenyeviti wa wenyeviti ni abomination, pasipo kujali kuwa hao waliovishika wananguvu kiasi gani ndani ya chama chao. Time has Chadema wafahamu kuwa kujifunza hakuna mwisho. Leo hii tamko la mikutano mikubwa kwa kugombea udiwani? mbona hao watu waliweza kuteka hizo nafasi pasipo nguvu za the so called the giants. Its just that kwa sisi tunaosoma sana kila habari matangazo ya Chadema ni kama an anti climax. Najua kuna wanaoweza kusema dada anatafuta kick aonekane, si kweli, tuambiane ukweli jamani hata kama sisi ni marafiki, au ndugu ili tupate kuwa bora zaidi kila siku.
True said mkuu ...ndo mana mm bado kadi Yangu Ya kijan mpk mzee Rungwe haimarishe kile chama
 
mikakati mibovu halafu utasikia wanalalamikia tume,kun haja gani ya kupiga kampeni''kwenu''unakobalika badala ya kwenda usikokubalika ili uuze sera na ujiwekee akiba ya baadaye ,makosa yaleyale ya kupita na helicopta wakati wengine wakikata mbunga barabarani.
Kinachoshangaza sana ni kuona viongozi wakuu wanasifia mbinu hizo bila kufahamu kuwa zinaleta ukakasi ndani ya chama na katika macho ya wachambuzi wa siasa.
 
Chadema chini ya MBOWE ni Obwe kuu la taifa. Anataka kutuaminisha kuwa wao wanajipanga zaidi ya maeneo mengine hata kama hela wanatoa wenyewe.

Inawezekanaje katika wabunge wote wa CHADEMA 22 wanatoka kanda moja?
 
Back
Top Bottom