Viongozi 22 wa kitaifa CHADEMA kuzindua kampeni kanda ya Kaskazini

Mkuu nikubaliane na ww labda nimetanYa majumuisha kwa kuangalia upande mmoja ...lakini Tujiulize Viongozi wangapi wa kitaifa au wabunge wa chadema wenYe ushawish ?
Mkuu mbona tunao wengi sana tu lakini nahisi kwa kuwa bunge sio live tena ni ngumu wengine kujua potential ya hawa wabunge wapya ila tunao wengi tu na hta wwe shahidi wakati wa mijadala bungeni wenye hoja nzito huwa wapinzani wakiongozwa na lissu mnyika mdee mbowe millya heche matiko gekul msigwa waitara mbatia sugu silinde upendo kishoa to mention a few
 
Msemaji ukweli naona unajaribu kuneutralize ishu ya Magufuli kujenga Airport kijijini kwao. Hakuna ubaya kuwekeza nguvu pale unapoona una uwezekno wa kushinda kuliko kuweka nguvu sehemu ambayo una uhakika hutapata chochote!
 
Mkuu mbona tunao wengi sana tu lakini nahisi kwa kuwa bunge sio live tena ni ngumu wengine kujua potential ya hawa wabunge wapya ila tunao wengi tu na hta wwe shahidi wakati wa mijadala bungeni wenye hoja nzito huwa wapinzani wakiongozwa na lissu mnyika mdee mbowe millya heche matiko gekul msigwa waitara mbatia sugu silinde upendo kishoa to mention a few
Watu kama hawa uliowataja ndo wakuwapeleka sasa Vijijin huko mtwara Mwanza na ShinYanga wakajenge hoja kwa watu personal appearance zao tu ni ushawish ila angalia Viongoz wanaopelekwa kwenYe hii mikoa Mingine .....kujenga chama unaona hakuna future
 
Acheni ujinga hao ni north nyasa nao watakuwa na wabunge wao wote huyo Amani Golugwa ni wa taifa kwani kijani acheni ujinga
 
Whats wrong wing u stale mind?? U already said 22 MPs are from the northern zone so whats wrong if they decide to help the locals contesting in their same homeland???

Maandamano arusha watu waliuawa ushaskia huko mwanza maandamano hadi watu wakauaawa??? Mara ngapi Arusha wameandamana au mnataka chadema ionekane inajali kanda yake pekee???

Ushasema hao wabunge wanatokea kaskazini je wakiona kuna uchaguzi kwenye kanda yao ndio wasisaidie ?? Ingekuwa ina mantiki kma ungesema wabunge wa dar au mtwara wamepelekwa kaskazini ila kma ni wa kaskazini huko huko kosa likwapi kusaidia wazawa wenzao????
Nilikuwa nakufollow sana kwa hoja zako murua humu ndani ila kuanzia leo nmekudharau sana you are one piece of an inferior mind with vague ideas.
 
Zzx
 
Kama jf itaendelea hivi na ukabila ukanda nitasapoti ifungiwe isiwepo milele. Fikiria unapohubiri ukanda bukisaidii chama chetu cha mspinduzi kwani wana ccm walioko kanda hiyo au wa kabila za huko watajiona hswatakiwi ccm wataungana na wenzao wansotengwa. Nchi itapasuka km unguja na Pemba.
 
mikakati mibovu halafu utasikia wanalalamikia tume,kun haja gani ya kupiga kampeni''kwenu''unakobalika badala ya kwenda usikokubalika ili uuze sera na ujiwekee akiba ya baadaye ,makosa yaleyale ya kupita na helicopta wakati wengine wakikata mbunga barabarani.
Heri kenda shika kuliko kumi nenda urudi bora kuweka nguvu pale penye uhakika
 
Watu kama hawa uliowataja ndo wakuwapeleka sasa Vijijin huko mtwara Mwanza na ShinYanga wakajenge hoja kwa watu personal appearance zao tu ni ushawish ila angalia Viongoz wanaopelekwa kwenYe hii mikoa Mingine .....kujenga chama unaona hakuna future
Haaahaaaaa mkuu kwani hao umeaambiwa watakuwa kaskazini ?? Na kati ya niliowataja kuna yeyote wa kaskazini hapo zaidi labda mbowe nassari na lema...... ssa ndio usubiri taarifa rasmi ya chama ujue hizo silaha hatari kma lisu heche na kina mdee watapelekewa kata zipi maana unavyosema its as if chadema imepeleka timu nzima ksakaizini na imesahau kanda zingine.... lets be patient taarifa rasmi itatolewa na makao makuu ndio tutajua kma kuna upendeleo ama la
 
Hivi mmesoma Uzi kweli au mmeamka tu!,Amesema wanaenda kuzindua kampeni au?, Sasa waende KANDA ya Ziwa kunauziduzi wa nn?,any way mm nachangia tu on behalf of my self!!
 
Whats wrong wing u stale mind?? U already said 22 MPs are from the northern zone so whats wrong if they decide to help the locals contesting in their same homeland???

Maandamano arusha watu waliuawa ushaskia huko mwanza maandamano hadi watu wakauaawa??? Mara ngapi Arusha wameandamana au mnataka chadema ionekane inajali kanda yake pekee???

Ushasema hao wabunge wanatokea kaskazini je wakiona kuna uchaguzi kwenye kanda yao ndio wasisaidie ?? Ingekuwa ina mantiki kma ungesema wabunge wa dar au mtwara wamepelekwa kaskazini ila kma ni wa kaskazini huko huko kosa likwapi kusaidia wazawa wenzao????
Nilikuwa nakufollow sana kwa hoja zako murua humu ndani ila kuanzia leo nmekudharau sana you are one piece of an inferior mind with vague ideas.
...mbona Hamuandamani mkiwa Moshi?,..
 
kwan huu uko huko 2 kaskazn? mm mwanaharakati wa mabadiliko lkn kwa huu utaratibu sio mzr sana,viongoz wote kujaa huko kaskazn il hal dodoma,ruvuma irnga na maeneo mengne upinzan uko week huko ndo mlipaswa kupeleka nguv nying kuliko huko kaskazn ambako tayar upinzan umekubalika! ndg Mbowe pitia jf uone watu wanavyokoment juu ya chama cdm na ukawa kunakoment n chachu kwa uhai wa chama na ukawa kwa ujumla co kila ki2 kinachoandikwa hum n hasi kwa cdm na ukawa la hasha!
 
It's well and good for northerner to get first priority on manpower and funds during campaign but when it comes to demonstration, the lake zone gets the first priority!

This is CHADEMA's way of doing politics!

Yaani kata nne ambazo ziko kwenye eneo linalojulikana kama ‘’ngome ya CHADEMA’’ zinapewa viongozi 22 wa kitaifa na wabunge wakati wa kampeni. Mwingine anaweza kusema, this is favouritism and misallocation of party resources!

Mimi ninasema, uongozi wa juu wa CHADEMA umefikia kikomo kwa sababu umekosa focus na maarifa ya kukisukuma chama mbele zaidi.
Hiki ndio ulichotaka kuandika , ile habari ya Mwananchi umeitumia kama chambo tu .

Kiwango chako cha fikra ni duni sana !
 
Mkuu hili si la ukabila wala ukanda kama Wapenz wa siasa na maendeleo Tunataka kuona hali Ya Muamko wa kimabadiriko unagusa kila kanda Kuna mikoa ambaYo TaYar ni cashcows kwa Chadema na mikoa mingine bado ipo kwenYe dog stage inaitaji nguvu za ziada Does this too need rocket science hata kama mm ni la saba B hili lipo wazi
Katika uchaguzi huwezi kuacha maeneo ambayo una mtaji kiasi ukaongeza nguvu stronghold za mpinzani wako.

Kata tatu katika NNE ni zetu ccm wao wanatetea kata yako moja na kujaribu kuvuna chochpte kutoka hizo tatu baadae kutakuwa na mahesabu ya numla katika kata zote 22.Jua kwamba si kweli kwamba kina ukanda ndio maana ccm walipata viti vitatu hata Rais Magufuli alipata kura nyingi tu.

Kama ccm tukizidi kugawa watu kikanda basi itakuwa kama Pemba yote Cuf na unguja ccm. Propaganda za ukabila zitaipunguzia ccm mashabiki katika kanda na makabila husika yanayoshambuliwa.

Ni vizuri basi, kwa sisi mashabiki wa ccm kuacha kujificha tujitokeze kujenga hoja kushindsna na wenzetu badala ya kushinda humu kuhubiri ukabila ni jambo baya sana hata kiimani mbaguzi hutangaza kubaguliwa ili abague
 
kwan huu uko huko 2 kaskazn? mm mwanaharakati wa mabadiliko lkn kwa huu utaratibu sio mzr sana,viongoz wote kujaa huko kaskazn il hal dodoma,ruvuma irnga na maeneo mengne upinzan uko week huko ndo mlipaswa kupeleka nguv nying kuliko huko kaskazn ambako tayar upinzan umekubalika! ndg Mbowe pitia jf uone watu wanavyokoment juu ya chama cdm na ukawa kunakoment n chachu kwa uhai wa chama na ukawa kwa ujumla co kila ki2 kinachoandikwa hum n hasi kwa cdm na ukawa la hasha!
Soma mada. Uchaguzi WS marudio. Utafanyika tarehe22jan Kata 22 na Jimbo moja. Naona hsmsomi ndio maana ufaulu unapungua. Unaonekana una papara hata kwenye paper
 
Back
Top Bottom