The average South Africans are using foreigners as scapegoats for their deep rooted problems. The SA gov. should be more vigorous and implement stern measures to stop this kind of injustice.
SteveD.
I do not buy this argument.......there is nore in this than mambo ya chumbani.Hao raia wa S.africa, wanaweza kuwa na sababu kufanya hivyo. kwa kawaida,wafrica tunasifiwa kuwa tunajua sana mambo ya chumbani,hasa kwasababu maumbo yetu ni makubwa. tukienda kuishi na wazungu, huwa wanatupapatikia, na wanaweza hatawaache boyfriend wao waje kwa mtu mweusi.kwasababu ile kitu ni muhimu kwao, inatuliza akili ati. wazungu wanafikia kipindi cha kuwachukia wote in general. kwasababu wanaona tunafaidi,wao wanajiona inferio.solution iliyopo ilikuwa ni kulipia magenge ili yaeneze kichapo. hata kama sisi tunaoenda kusoma nje, kuna wengine nchi ile hawajasoma na tukienda huko wanaona wivu. Haya ni mawazo yangu.hakuna mwenye uwezo kunishutumu, ukitaka kunishutumu itabidi ulete hoja,sio maneno.
I do not buy this argument.......there is nore in this than mambo ya chumbani.
Weusi wengi wa SA ni wavivu...hawafanyi kazi. Bado wana dejavuz a uhuru...walifikiri baada ya uhuru kila kitu kitakuwa chao. Bila kufanya kazi? kaburu pamoja na ubaguzi wake ni mchapa kazi... Sasa hawaelewi kwa nini hawafanikiwi..uhuru haujawasaidia sana kiuchumi...waafrika wenzao viongozi hawana impact . Na Kaburu anazidi kuwa tajiri. Hapo ndipo wanapochanganyikiwa..........mgeni mweusi ndie anayekuwa "bangusilo"!
Tatizo ni Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!
Kama ndiyo hivyo basi na Watanzania tungekuwa tunawaua Wakenya, Waganda, Wasomali, Wanyarwnda, Warundi, Waethiopia ambao wanazidi kuongezeka kila kukicha, lakini haijatokea kusikia Watanzania tumemuua mgeni kwa sababu tu ya kutokuwa Mtanzania. Hapana Waafrika sivyo tulivyo!
Maskini watanzania sie, ndio kwanza wageni wanatuua kila kukicha instead!
Wee unaishi wapi? Maana naona hujawahi kusikia jinsi Wanyarwanda, Warundi, Wasomali, Waganda walivyouana na baadhi wanavyoendelea kuuana. Umewahi kuisikia Darfur...?
Hujanielewa Nyani, wageni waliopo Bongo pamoja na kuwa wanauana huko makwao lakini bado tukiwasitiri kwetu wanatuua pia. Majambazi wengi wanaotumia silaha Tanzania ni wageni.
Foreigners flee as Johannesburg clashes toll hits 22
53 minutes ago
JOHANNESBURG (AFP) Thousands of foreigners sought refuge at crowded community centres and police stations in Johannesburg on Monday amid new attacks in a wave of xenophobic violence that has killed 22 people.
Mobs roaming through poor townships around South Africa's economic capital have killed and beaten up immigrants over the past week, with Zimbabweans and other Africans reporting purges by armed locals looking for foreigners.
Crowds of people gathered at community centres and police stations in affected parts of the Johannesburg area -- mainly the notorious central downtown area and slum areas to the east of the city....
Toll rises in South Africa unrest
South Africa's townships have been seized by a wave of anti-foreign violence [Reuters]
At least 13 immigrants have been killed as a wave of anti-foreign violence spreads across South Africa's townships.
Hundreds of people, many from Zimbabwe, sought refuge on Monday, as mobs set their homes on fire and the toll from xenophobic violence grew.
Residents were forced to flee as their homes were set alight in Reiger Park on Johannesburg's East Rand, where one man was set on fire on Sunday.
Police patrolled the township as large gangs stood around pelting them with stones and barricading roads...