omujubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 4,444 Reaction score 2,700 Jun 25, 2025 #81 Pendaelli said: Hizi harakati zinakutaka uwe na power fulani katika jamii, wewe mtu umepata flowers elfu kadhaa ushakuwa mpigania uhuru! Click to expand... Kwa vile nchi ina watu zaidi ya 65 million kujumulisha na wale wasio watz lakini wanajisikia kuandika mambo ya nchi hii, basi ishauriwe kuanzishwa mamlaka ya kupitia ujumbe ambao mtu anakusudia kuandika na wamuruhusu ndio aandike!
Pendaelli said: Hizi harakati zinakutaka uwe na power fulani katika jamii, wewe mtu umepata flowers elfu kadhaa ushakuwa mpigania uhuru! Click to expand... Kwa vile nchi ina watu zaidi ya 65 million kujumulisha na wale wasio watz lakini wanajisikia kuandika mambo ya nchi hii, basi ishauriwe kuanzishwa mamlaka ya kupitia ujumbe ambao mtu anakusudia kuandika na wamuruhusu ndio aandike!
I Interested Observer Platinum Member Joined Mar 27, 2006 Posts 4,814 Reaction score 7,455 Jun 25, 2025 #82 technically said: View attachment 3379968 Click to expand... Na yule BAMS naye kapoteaaaa!!!!!!!!!!!!!
technically said: View attachment 3379968 Click to expand... Na yule BAMS naye kapoteaaaa!!!!!!!!!!!!!