Vioja kwenye ferry

Vioja kwenye ferry

Prince jabry

Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Jama kapanda ferry karibu nae kukawa na bibi mzee amevalia rinda na kofia yake mpya.mara upepo mkali ukavuma.rinda la yule bibi likawa lapeperushwa na hakua na chupi.yule bibi kaonekana akizuia kofia zaidi ya rinda.yule kijana akamu uliza " mbona hauzuii rinda na hauna chupi" bibi akajibu " **** ninayo miaka 50 lakini kofia ni mpya.ndio manake nazuia kofia.
 
ni kweli 2pu kofia bei ghari kuliko hiko kikojoleo chake
 
bibi kachizi, usikute enzi zake alikuwa ni mfanyabiahara wa mambop yetu yaleeee kwenye ule mtaa wetu maarufu hapa city centre.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom