VIOJA: ETI KANUMBA NI DEZEL WASHINGTON wa Tanzania

hahah nimecheka mie watu wanavyo hadi tukananaaaaa

Nimeshindwa kutoa comments kwa sababu sijawahi kuangalia movies za huyu Dezel Washnton wa Tanzania. Ila namshauri azingatie ushauri na asijisikie amefika sana aongeze bidii.
 
Sijui wamefana kimaumbo au kipaji cha uigizaji....

Steve:
IMG_0710.JPG

Denzel:
denzel_washington_98.jpg
 
Nimepata bahati ya kuona ile DVD ya 'The Fake Pastors'. Pamoja na kwamba hadithi yake ina mawaidha mazuri tu, ule uigizaji wa hawa jamaa bado, tena bado sana unahitaji kuongezwa. Wanasema hizo scripts kama wamekariri vile, sio kama watu wanavyoongea katika hali ya kawaida ya kila siku. Kujiita Denzel wa Tanzania, nadhani ni kujikweza kabla hajafikia kiwango cha utaalam wa kuigiza. Nawashauri waongeze kiwango cha kuigiza, kabla ya kutengeneza filamu nyingine.
 
....their movies are too much idealistic than realistic.. the way forward is still very far,anayejifananisha nae angejua angemshtaki...!
 
Teh .... amepiga picha .. teh ... mbavu zinauma wajameni acheni hizo. Kashinda tuzo ... teh.

Kama kuna mtu mfikishie ujumbe huu 'sanaa yake ni ndogo sana, halafu hii staili yake ya promosheni aipeleke kwa watu wanaolingana nae kiupeo'
 
Kanumba anajua kuigiza! Acheni kumkashifu. Ila sidhani kama anaweza kujilinganisha na Denzel Washington.
 
Back
Top Bottom