Mafirauni bwana........!!! Hii mada ilishagazungumzwa siku nyingi sana humu... Hebu fukua fukua utaipata... Then twenzetuni juu la siasa jule kwanza tukapasue kichwa
kuna mshikaji mmoja alidanganywa na jamaa zake achanganye red bull na Konyagi, mapigo ya moyo yalikua yanaenda mbio kama Ferrari na wewe danganya wenzako hapa... mtakufa.. suala la mapenzi ni hisia tu
Duuuh! Kazi kweli kweli, wengine tunataka za kutoa kabisa hamu kumbe wengine mnazitakaaaa!! Sinywi pombe ila nikiambia hata inayoondoa kabisa yani hata nisikumbuke ntakunywa maana ni shidaaaa