Vingunguti, Dar es salaam

Yaani hizo nyumba japo zimechakaa lakini zinaonekana zilijengwa kwa plan kabisa.
 
Pamoja na yote hayo bado watu wa hapo wanajisikia burudan tu na kama unataka ugomvi muhamishe uyo mtu apo.
 
Halafu mwewe wa CloudsTv akionesha hizi habari tunaambiwa Clouds wanatumiwa kuhujumu halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.


Swala la Vingunguti si la UKAWA. Hilo eneo lina chemchem, tangu dunia ianze hakujawahi kuwa na Sewarage system ya kueleweka. Na matakataka ya Dar yote yanaenda huko tangia enzi za TANU.
 
Dar isikieni tu au mkiona yale yale majengo kwenye bongo muvi mnajua pakali kweli,bora mikoani
 
Alafu kiongoz wa mkoa yupo na manen yke ya mwendokasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…