Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?
BADILI TABIA n'take radhi,
ntake kukaguliwa kijanja kisa?
Akhuu,
ukaguzi na upekuzi yakinifu wa kutiana majaribuni hata siutaki mwaya,
au hujui kama nina mpango wa kuokoka?