Vingine raha vingine karaha.

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
605
Unafyonza nini kati ya hivi? Pipi ya kijiti, chakula ya mtoto, chumvini, mavini, pua, macho, masikio, ulimi, lips, tovu, kwapa. Beware of ban.
 
duh hiyo ni ndoto au summary ya unachowaza?
 
Mtoa mada nashkuru kunikumbusha ya kwamba mwezi wa malazani passing away already!
 
Mtoa mada nashkuru kunikumbusha ya kwamba mwezi wa malazani passing away already!
Na michumvi pia!
 
Nakutakia kulala kuzuri, ila kabla ya kulala waweza kula kimojawapo.

Mh!!
Me bado mwanafunzi,labda nilambe koni maana sisi wanafunzi kwa kupenda koni hatujambo.
 
Mh!!
Me bado mwanafunzi,labda nilambe koni maana sisi wanafunzi kwa kupenda koni hatujambo.

Sawa, ila kwa usiku huu koni ya moto ni nzuri kuliko ya bariko
 
Unafyonza nini kati ya hivi? Pipi ya kijiti, chakula ya mtoto, chumvini, mavini, pua, macho, masikio, ulimi, lips, tovu, kwapa. Beware of ban.

Mambo yote kinyesi. Toilet papers aghali bana. Madame B popote ulipo, waweza nambia we unalalaga sangapi?
 
Last edited by a moderator:
Mambo yote kinyesi. Toilet papers aghali bana. Madame B popote ulipo, waweza nambia we unalalaga sangapi?

Babu mbona wan'twika swali gumu hvo?
Mda huu ndo nalala baada ya pilikapilika za kufurahia kumaliza Swaumu.
Ila mimi sina muda maalum wa kulala.
Popote Kambi
 
Last edited by a moderator:
mpango mzima kupiga DEKI chooni...!
sasa je!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…