Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,903
Asubuhi nimepita kwenye mgahawa fulani nikawakuta vijana kama 3 wanasuburia huduma, kitu kilicho nishangaza walikuwa wanataja sana neno king'amuzi.
Baada ya kuwataka waniambie maana ya neno lile kulitumia ktk mazingira yale, wakaniambia wanamaanisha kuwa wahudumu wa mgahawa ule mguo walizovaa zimeacha matiti yao wazi sana ukizingatia wao ni weo ni weupe.