Ving'amuzi vya zuku na startimes, kipi kizuri?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Kipi kizuri hapo?
Startimes hakistratch kama zamani
Zuku wameleta kifurushi mpaka cha elfu kumi channel 38
Haya na startime nao wana kifurushi cha elfu tano channel 38 kipi kizuri wakuu?
 
Back
Top Bottom