Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

mkuu mimi pia ilikuwa ivyo nikashauriwa kununua antena yao na waya wao mweupe
Sasa inaonekana poa kabisa sio kama mwanzo
 

Kama ni hivyo, sufferings zote za watanzania ni viongozi /watawala/madikiteta wetu wanaoruhusu takataka kama hizo ziingie hapa.
 

najutia kielele cha kununu star times yaani ujingaujinga
 
Matatizo ya Kupenda mteremko ndio hiyo, nunua DSTV uachane na scratch.
 
nilisema kuwa hawa jamaa ni hovyo. Toka lini china akatengeneza kitu cha maana duniani! Hovyo kabisa. Tutaponea wapi mungu wangu!!!!!
ndugu china ni taifa kubwa linaloibuka usifikiri vifaa feki unavyonunua kariakoo ndio china .....hao ni wababaishaji wachache wa kichina wanaoshirikiana na wajinga wenzetu.......lalamikia star times na si china!
 

Mi nazani wewe unataka kuwahi kununua, nimepanga kununua mwezi Julai after full scan of all ving'amuzi kwa sababu vipo vingi njiani vinakuja
 
Mi nazani wewe unataka kuwahi kununua, nimepanga kununua mwezi Julai after full scan of all ving'amuzi kwa sababu vipo vingi njiani vinakuja
Kweli aisee maana nashangaa hawa walioliwa pesa zao sasa hivi hakuna hata mmoja anayepata hata Channel moja inayoonesha mashindano ya AFCON, wote wanaenda kwenye mabar kuangalia mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…