Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,340
Mkuu umenena ila inategemea mazingi DSTV sio wengi wenye kuimudu humu
ila Dishi la free chanel kwenye nyumba yako mkuu kwenye nyumba ya kupanga kule uswazi ni ngumu kidogo tunaomba makampuni mengine iwe rahisi itume antena za ndani tu lakini kinyume hapo mambo yaleyale tu.
Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!
Hakuna dish lisilohitaji king'amuzi (kisimbuzi), labda kama hauelewi decoder ni kitu ganiBora mimi ninayeendelea kutumia dish sijui kabisa adha ya ving'amuzi!
Star Times ni kilio kingine kwa watanzania, full usanii.
yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.
yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.
Coconut ,ndugu zao cloud fm tena baadhi ya maeneo ,pia zanzibar cable, nao pia watu wa kujimegea maeneo ya kutoa huduma .Je huko zanzibar na nyie mmejengewa mnara maana hii ni kama simu mnara kama uko mbali mawasiliano ni tete. Ila sijui mazingira huko zenje. Mbona kuna mtu anada huko kuna king'amuzi full machenal tv station zote bongo zimo na iko crea ni kweli hii.
Wengi wanalalamika , lakini sijui wanatumia antenna za ndani au za nje, mm nafikiri wanaolalamika ni wale wanaotumia antena za ndani tu,
plse ambaye anatumia antenna zao za nje na bado hapati signal atujulishe ili tusiende kununua hivyo ving'amuzi kabisa,
Nilisema kuwa hawa jamaa ni hovyo. Toka lini China akatengeneza kitu cha maana duniani! Hovyo kabisa. Tutaponea wapi Mungu wangu!!!!!
hakuna cha star tyms,ting,cjui zuku...wezi 2,tena kuna channel hakuna!nyingine zinatolewa bila taarifa!Only Dish with free channels,no usumbufu!hata gharama yake ni ndogo kulifunga kwa wenye uwezo mdogo...
yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.
Jaman chanel gani ktk startimes inaonyesha mpira wa mashindano ya afrika nchini southafrica