Ving'amuzi vya EASY TV

Ni sawa halima malipo ya mwezi lakin linahitaji bajeti kubwa kuliko hii ya Easy Tv ambayo nimeomba waje wanifungie.
 
Asante sana tena sana ndugu yangu Idimi kwa maelezo hayo ya kujitosheleza kabisa,soon naenda kukinunua hao Star Tv ni juu yao madhalani nitapata 99% ya local chanels sio mbaya kabisa


Star Tvee ndo mpango mzma mkuu
 
Mim niko maeneo ya ubungo maziwa nadhani nitakua kwenye eneo lao yaan ''Coverage areas''
We utapata kirahisi, kwa sababu transmitters za hawa jamaa zipo pale Udsm mlimani

Idimi,tunashukuru kwa ufafanuzi naomba kuuliza installation cost ni bei gani(gharama za kingamuzi au dish la Easy Tv)
Ukinunua kisimbuzi unapewa waya na connectors bure, gharama zako ni kumsafirisha fundi hadi kwako na kununua bomba la kuwekea antenna. Hiyo antenna wanatoa wao wenyewe.

Vp usipolipia iyo 9000 kwa mwezi au ukachelewa, wanakata matangazo yote au chanel za taifa zinabaki?
Usipolipa hiyo 9000 unapata local channels chache. Huwa wanaondoa DTV, Clouds na ITV
 

ITV,TBC,CH10,CAPITAL TV,EATV ndizo zinazobaki hata kama hujalipa 9000
 
ni kweli mwanzoni kilinisumbua sana lakn nilipopeleka bomba juu sijawahi pata tatizo tena
 
Easy Tv ni wazuri sana tu kiukweli kwa mahitaji ya mtanzania naona inafaa,nilisikitika tu walipoondoa
Star Tv maana tunamkosa Salim Kikeke,japo niwaambie Star Tv hii haitakuwa sababu kwangu kununua
hiyo Continental yao.So wakubali tu matokeo aliyewahi kawahi
 
Kwa jinsi mnavyoelezea hii kitu,mimi wa moro hainihusu kabisa,acha nijaribu ZUKU.
 
habari zenu wana jamiiforums naomba sana kujua maana nashindwa kuelewa hapa naomba maon yenu kwa msaada zaidi ni kwamba kingamuzi cha Easy Television bado kipo kweli na bado kinafanya kazi kwa tanzania hii na maeneo gani.
naomba kuwadilisha hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…