MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
Wakuu.
Ni dhahiri kwamba ujio wa king'amuzi cha azam ilifurahiwa na wengi hapa jukwaani na huko mitaani kwa ujumla.
Natumia king'amuzi cha azam na ilifurahia sana huduma zake na chanel zake lakini tangu juzi kimeanza kuzingua na sina hamu nacho tena.
Kwa nini?
1. Kimeaanza tabia ya kubadilisha chanel chenyewe, yaani huja shika remote wala hujabdili unashangaa tu kimesha badilisha chaneli.
2. King'amuzi kimeanza pia tabia ya kujiongeza na kupunguza sauti chenyewe. Huja amua kuongeza wala kupunguza sauti unashangaa tu kimesha jiongeza na kujipunguza sauti.
Nilijihisi labda remote ndio ina tatizo na nikajikuta natoa betri kwenye remote lakini bado hali ikawa ileile.
Nimekimbia startimes nikasema nijiunge na azam ambacho nicha mtanzania mwenzetu lakini pia nikitaraji ubora lakini nako majanga tu.
Azam nawapa siku tatu mtatue tatizo maanaa nimeuliza kwa baadhi ya wateja nao walalamikia tatizo hilo. Nitawahama fasta sana.
Azam amkeni.