Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,536
- 6,562
Wakati wa mvua chanel huwa zinalowana, kuweni wavumilivu tu.
Acheni kuchafua biashara za watu kwa kutumia mafundi uchwara hilo. tatizo lako ni dogo sana signal ziko weak mtafute fundi akurekebishie signal quality isomeke 80% hilo tatizo hutoliona tena