Mambo ya ving'amuzi ni suala la siasa iliyochanganywa na biashara ikapambwa na ngonjera inayoitwa Digital.
Wabongo ngoja tuendelee kula maumivu kwenda mbele.
*Nina uhakika huu mpango wao wa kuzima mitambo Analogy ifikapo December 31 ili kuhamia Digital utakwama vibaya sana.
Hauwezi kukwama kwa sababu hawawezi kujali maoni ya wananchi wanasemaje