ukichomeka kwenye computer herufi 3 za mwisho zisome halafu zilete hapa
ukichomeka kwenye computer herufi 3 za mwisho zisome halafu zilete hapa
kutokana na source mbali mbali online. pvr vlc inaplay hayo mafile je mshajaribu?
pia video converter mbali mbali zinaweza kuconvert na kuja mafile ya kawaida munaweza kujaribu ya freemake au total video converter.
mwisho kabisa inawezekana data zikawa encrypted sababu kurekodi baadhi ya show kwenye tv halafu kuzisambaza kwa watu hairuhusiwi inawezekana zikawa zinaruhusiwa kuplay kwenye dekoda yako tu.
Wanab0di
Mimi nina kingamuzi cha Azam TV,huwa narek0di mpira sana hasa ligi ya VPL sasa nikichukua flash yangu kwenda kuangalia kwenye k0mputa lile file halifunguki!je f0rmat inay0tumika kwenye kingamuzi haingiliani na k0mputa?
Je inawezekana ku-c0nvert hiy0 f0rmat ili ni0ne kwenye k0mputa?
Hay0 tu.