Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
Nunua ting au nunua dish la futi 6 na LNB YA KU BAND KWA AJILI YA YA EMMANUEL TV na nyingine nyingi sana zaidi ya 20 za dini pia weka LNB YA C BAND KWA AJILI YA local channel okay. Hutalipia chochote kwa mwezi.