Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vinega wawaogopa Clouds Fm!!clouds Inatisha yoo!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Greater thinker, Dec 16, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya wiki hii,vinega hawa baada ya kufunikwa dar,wakaona mmmhhh bora wakimbilie Arusha..chek show zao zenyewe wanavyojikongoja tangu wafanye dar 26/11 wanapga A.town 18/12 sasa hadi kumaliza Tz nzma si itawachukua karne nzma?kwa nn wacwe kama fiesta au epiq nation?kila week show? sa sijui watawakimbia mpaka lini?yoo!!
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hivi huu mpambano bado upo?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  and there goes yob in the name of great thinker, yoo

  ....great stink indeed
   
 4. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  vinega washashndwa basi tu wanaona aibu kujirudi kwa clouds but watakuja tu kuomba msamaha yoo
   
 5. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Video ya Show ya Vinega ipo youtube wala usijisumbue kutuambia lolote wakati ukweli uko wazi. Clouds Walifunikwa. Ok, bye!
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Inaelekea ulikuwa unaandika huku unaongea, jinsi povu lilivyokutoka!
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,882
  Trophy Points: 280

  • [​IMG][h=6]Joseph Mbilinyi

   [/h][h=6] I'm in Arusha with Mbeya in my mind...thanks to Blackberry coz I can work from anywhere in the world...tha MP![/h]


   
 8. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Mtoa maada ovyo! Wamekupa hela nini? Yaani ukweli unaonekana na kila mtu anafahamu afu unakuja ku*a usingizi!
  Mimi si kada kokote bali unaoneka na nina video zote nimezidownload toka youtube.KAZIANGALIE AFU URUDI KUCOMMENT.
   
 9. u

  utantambua JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mitihani ya form four inakusubiri wee kalia show tu kila siku, utazungusha necta afu tuone hao wafu fm sijui watakusaidia nini.
   
 10. kawakama

  kawakama JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  ww GT umetumwa na hao wafu fm,unataka wapange show kwa ratiba yako ww au ya hao mabwana zako wa clauz? acha majungu ww mtt wa kiume,watakukameruni ukiendelea na umbweha huo...sio lazima uandike kitu hapa JF kama huna kitu ambacho hujakifanyia utafiti tulia msimulie bwana wako au peleka kule kwa low understanding wenzako wa FB
   
 11. kawakama

  kawakama JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  low understanding ww mbwiga....umetumwa?
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu kutakuwa na factor nyingine kama za kifedhana na mambo mengine kama hayo kwa mwanzo ni mgumu
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kila wiki show? hao watu wanatumia maji nini? show nzuri na yenye mvuto mala nyingi hukaa ama uandaliwa kwa mda mrefu huwezi kukurupuka tu,
  nadhani hawa jamaa Vinega watafanya mambo mazuri sana pasipo kuwaangalia mawingu usoni

  Vinega go go go go go go
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Sugu anastahili pongezi show zote anapiga pasipo tumia sponsor yeyote yani Deiwaka Entertainment ndo inafanya kazi daaaa Sugu moto chini anti-virus with no apology
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu unajua fiesta ilikuwa dar pekee yake ndio wakaanzakwenda mikoani baada ya miaka kadhaa sasa wewe mtu kaanza fasta na tour za mikoa inatakiwa umkubali halafu ni mkono wao wenyewe sio wa makampuni ya udhamini..

  kikubwa hapa ni kujua kwa nini imba muziki hawataki kuungana ili watoe kodi zao kwa serikali na pia waweze kuendelea hata siku moja clouds hawafanyi kitu kwa hasara kwa hiyo siku moja mtajua anafanya nini pole sana bendera GT
   
 16. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [h=6]Saturday, December 24, 2011
  SOKOINE STADIUM MBEYA CITY
  KIINGILIO NI 3,000/= TU.![/h][​IMG]
   
 17. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Radio ya Wafu ni Ma Haters! Big up Sugu.
   
 18. F

  FadStar Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vinega daima kwa Maendeleo endelevu ya Musik industry hapa Tz sio Wafu fm wanawatumia Wasanii kama big G. Sugu moto chiini endelea kuscan hao Virus
   
 19. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada kumbe ukwenda kwenye shoo ya vinega pole sana
   
 20. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  jukwaa lishaanza kujengwa tripple A kesho kazi ni moja kuwascan virus afu mwambie RUGAY na yeye atunge kitabu coz kitabu cha Sugu kinauzwa watu wanakinunua kinyama! Ye si anapenda ligi atunge na kitabu kuhusu maisha yake ya u.s.h.o.g.a
   
Loading...