Vinega wa ukweli shoo ya ukweli stage ya ukweli!

Vinega wa ukweli shoo ya ukweli stage ya ukweli!

manawa

New Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
2
Reaction score
0
lazima tuwakalishe hawa jamaa jumamosi hakuna dmx wala fabillas hawana lolote! huko kwao hawasikiki wakuja kufanya nin bongo? hakuna mtu ankwenda huko watu wote kwa vinega wa ukweli uzalendo kwanza kama NIGERIA walivyosusia shoo ya 50 cent! 2005!
 
Back
Top Bottom