Vincent Nyerere avunja ukimya

Huo ndio ukweli CDM wanapambana na ACT tena sio kwa kificho wametangaza hadharani kuwa "Adui yetu namba moja ni ACT na zzk" (Mnyika, 2015)
 
wakati mwingine unapokuwa kiongozi wa wananchi lazima uwe mkweli tusiwe na propeganda wakati wote hii skendo ni kweli maagizo yalitolewa kilichosadia ule mjini ulibarikiwa kuwa na watu wenye kujitambua hawafati maagizo ya mtu walisema ile ni nyumba ya wtz anaruhusiwa kuingia kila mtu wakasema kwanza nyie tumewazoea acheni na hawa wapya waje tuwasikilize tufanye siasa za hoja sio vihoja mungu ibariki act wazalendo
 
chama cha kisanii, mambo ya kisanii.

asante kutuweka sawa!!
 
ACT chama cha kipuuzi sana nimekidharau kwa kueneza propaganda zisizokuwa na tija,wewe ndo umekuwa msemaji wa ukoo wa nyerere?
 
wewe ndo msemaji wa familia,
sisi tunataka watoto wa baba wa taifa watoe tamko
sio wewe chadema na issue ni ya chadema,
 
Vicent nyerere na phileman mbowe nani mtoto wa nyerere;

kama ngelitoa mh mbowe sawa lakini huyu atumtambua; watoto wa baba na mama wako hai,

ndo maaana wameuchuna,

mnyika ni zigo; ebu tutoleeni ili zigo kanda ya ziwa
 
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?

Umesema kweli sio mtoto wa nyerere iln mjukuu wa nyerere n haki yake kutumia jina hlo kwasababu n la ukoo hata baba wa taifa na yeye asingetumia bas hlo jina kwasababu sio jina la baba yake, baba yake n julius. Jarib kuleta propaganda nyingne mkuu hii haina mashiko
 
Mwaka wanafiki watazidi kuumbuka ACT mnapoteza muda wenu kushindana na moto wa Chadema uwongo hatowafikisha popote.
 
Vicent nyerere na phileman mbowe nani mtoto wa nyerere;

kama ngelitoa mh mbowe sawa lakini huyu atumtambua; watoto wa baba na mama wako hai,

ndo maaana wameuchuna,

mnyika ni zigo; ebu tutoleeni ili zigo kanda ya ziwa
ficha ujinga wako
 
Kaa kimya kuficha upumbavu wako
 
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?

Watoto wa Nyerere ni Julius, Joseph na Josephati. Kwa hivyo ufahamu kuwa ata Makongoro sio mtoto wa Nyerere ni mjukuu wa Nyerere kama alivyo Vicent!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…