VINAUZWA: Microwave (SAMSUNG) na Water Dispenser (WESTPOINT).

VINAUZWA: Microwave (SAMSUNG) na Water Dispenser (WESTPOINT).

activemedia africa

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
141
Reaction score
26
Habari,

kuna mtu ana dharura ameomba nimekee hili Tangazo.

Anauza:

1. - Microwave aina ya SAMSUNG, ilinunuliwa mpya dukani imetuka kama miezi mitatu tu.

- Bei ni Tshs 150,000/=

Microwave.jpg


2. - Water Dispenser aina ya WESTPOINT imetumika nayo kama miaka mitatu.

- Bei ni Tsh 180,000/=


Water dispenser.jpg

Sababu ya kuuza vitu hivi ni kukusanya pesa kwa ajili ya mradi anaotaka kuanzisha.

Mawasiliano: 0654741801

Kwa maelezo ya ziada Tafadhali piga namba hiyo 0654741801
 
Mshauri apunguze bei,hiyo bei unapata vitu vipya
 
Mbona hiyo ndo bei ya dukani,halafu hiyo microwave ni manual au ya kizamani hata madukani bei yake ipo chini sana,kwa hiyo bei kuna kazi kuuza hivyo vitu
 
Back
Top Bottom