[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaha...,
Naona bora avirudishe humo msongeni na zogo likipungua kwa hawa maBidder tutashauriana namna tena ya kufanya hiyo biashara, kwani hata huyo Auctioneer wetu naona hana uzoefu au ndio ile atazoeya mbere kwa mbere? [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NB,
Asirare navyo mbere kwa mbere!
Dada,Mie nataka mtungi bei gani? Maji yake matamu sana
Kwanini mkuuHiyo ID yako sijajaribu kuifananisha na maelezo yako,
Samahani mkuu jambazi.
Ningepata mkeka, ungo, kawa, chungu, upawa na mundu ningefarijika zaidi.Sababu: nahamia Dodoma View attachment 405120
Huyo mbwa niachie geitini nitamkuta. Pasi sihitaji natumie kichwa changu nikilala kunyosha.Sababu: nahamia Dodoma View attachment 405120
Basi mie ntaleta kata yake! au vipi!...Mie nataka mtungi bei gani? Maji yake matamu sana
Mkuu Jambazi, habari ya tangu jana?Kwanini mkuu