Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,205 Reaction score 829,188 Oct 17, 2014 #1 Baadae vinakuwa panyaroad na commando yosso na watoto wa mbwa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Oct 17, 2014 #2 Michezo gani hii sasa kwa watoto, wakubwa hawaoni kuwakataza
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,367 Oct 17, 2014 #3 hilo ni kweli hivi vitoto havina maana hvi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,205 Reaction score 829,188 Oct 17, 2014 Thread starter #4 Mgirik said: hilo ni kweli hivi vitoto havina maana hvi Click to expand... Wanaonaga kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla
Mgirik said: hilo ni kweli hivi vitoto havina maana hvi Click to expand... Wanaonaga kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,205 Reaction score 829,188 Oct 17, 2014 Thread starter #5 HARUFU said: Michezo gani hii sasa kwa watoto, wakubwa hawaoni kuwakataza Click to expand... Confidence tangu utotoni utafikiri kana nyota ya simba au chui
HARUFU said: Michezo gani hii sasa kwa watoto, wakubwa hawaoni kuwakataza Click to expand... Confidence tangu utotoni utafikiri kana nyota ya simba au chui
A Ayugo Member Joined May 29, 2013 Posts 57 Reaction score 3 Oct 17, 2014 #6 Walikuwa wanashoot video yao hpo maeneo ya magomeni...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,205 Reaction score 829,188 Oct 18, 2014 Thread starter #7 Ayugo said: Walikuwa wanashoot video yao hpo maeneo ya magomeni... Click to expand... Sio video nzuri hata kidogo kwa umri wao
Ayugo said: Walikuwa wanashoot video yao hpo maeneo ya magomeni... Click to expand... Sio video nzuri hata kidogo kwa umri wao