Vina vilikua zamani

Vina vilikua zamani

trisha cute

Senior Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
194
Reaction score
608
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende

"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO

" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?

Screenshot_20210226-001214_1614291684330_1614291693498.jpg
 
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende

"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO

" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?

View attachment 1712039
Mzee Baba Jesca anajua wimbo ka rap Profesa Jay wa CHADEMA?
 
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende

"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO

" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?

View attachment 1712039


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaoponda ni kwa sababu umri umekwenda na mnapoteza ladha ya mziki hasa hii ya kisasa(mimi si shabiki wa mziki ieleweke napenda kusoma novel zaidi).

Niwaulize swali moja kwa maana najua wengi kipindi hicho mlikuwa vijana .

Hivi unadhani wazazi wako walikuwa wakikusikia unasikiliza hizo nyimbo walikuwa wanasemaje? Kwa maana wao waliona nyimbo za kina Mbaraka mwinshehe, kilwa jazz band,ochestra super mazembe, pepe kale ,mbilia bel
,Gatho beevans na wengineo ndo zina mvuto zaidi kuliko hizi zenu.

Lazima mkubali kila kipindi kina mpito waacheni vijana wa enjoy kile wanachopenda ,na mara zote mziki huimbwa kulingana na hadhira inavyotaka.
 
Umenikumbusha Mb Dogy, yaani nilikuwa form 2 enzi hiyo.. nikisikia wimbo wa Latifah, najikuta natamani niwe mkubwa niyaanze mapenzi..

Yaani nyimbo za Mb Doggy zilikuwa zinanipeleka mapenzini kimawazo.. sahiv msanii gani anaweza hiyo?
Mkuu, huyu Mb. Dogg ndo alinifanya nikaipenda Bongo Flavor.... Namkubali mpaka kesho huyu jamaa
 
Yani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende

"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO

" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?

View attachment 1712039
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaimba kwa kuongea kiingereza cha wanaijeria.

Kuna vitu kama wewe una angalau A B C za muziki huwezi kushangaa. Vinaenda na nyakati.

Kipindi kile unatoka wimbo wa 'Usione Soo Sema Naye'mimi nilikua siwezi kuusikiliza na wazee wangu ila leo ule wimbo haufui dafu kwa video zote za singeli, nyimbo za wcb na nyimbo za konde gang.

Kila unapogeuka ni wimbo wa mtu anahamasisha kufi.rana. sheta anakuambia Bozemba, Harmonize kwenye All night, Diamond amekua kwenye hiyo kampeni tangu kwenye wimbo wa Nyegezi, G Nako kwenye Tumeokoka, watu wanasifia mikvndu left, right and center.
 
Back
Top Bottom