NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Ulamaa mwanazuoni aliekomaa Solo Thang,alitisha sana uyu mtu.
[emoji1787][emoji1787] haki ni hatari mziki wa sasa[emoji119]Yu de basti my mendulla
My baby tomato sweet like mangooo oooo
Me nilietoa post ndio kwanza nina 26yrs lakn pamoja na yote unayosema ukwel usiopingika ni kwamba kwa sasahv mziki hakuna mziki ulikua zaman ndo mana hata nyimbo ziliweza kuishi mda mrefu bila tatizo mfano wimbo wa dhahabu wa dully sykes ni wa mda lkn ukipigwa mpk sasa unabamba na sio huo tu mizik ya zaman ilikua mizuri tofaut na sasaNyie mnaoponda ni kwa sababu umri umekwenda na mnapoteza ladha ya mziki hasa hii ya kisasa(mimi si shabiki wa mziki ieleweke napenda kusoma novel zaidi).
Niwaulize swali moja kwa maana najua wengi kipindi hicho mlikuwa vijana .
Hivi unadhani wazazi wako walikuwa wakikusikia unasikiliza hizo nyimbo walikuwa wanasemaje? Kwa maana wao waliona nyimbo za kina Mbaraka mwinshehe, kilwa jazz band,ochestra super mazembe, pepe kale ,mbilia bel
,Gatho beevans na wengineo ndo zina mvuto zaidi kuliko hizi zenu.
Lazima mkubali kila kipindi kina mpito waacheni vijana wa enjoy kile wanachopenda ,na mara zote mziki huimbwa kulingana na hadhira inavyotaka.
Ni aibu aisee ukizingatia na mpunga wa kulipa personal teacher anaoIt's about time mmakonde apelekwe British Council kujifunza English.
So sad ani[emoji58]Anaimba kwa kuongea kiingereza cha wanaijeria.
Kuna vitu kama wewe una angalau A B C za muziki huwezi kushangaa. Vinaenda na nyakati.
Kipindi kile unatoka wimbo wa 'Usione Soo Sema Naye'mimi nilikua siwezi kuusikiliza na wazee wangu ila leo ule wimbo haufui dafu kwa video zote za singeli, nyimbo za wcb na nyimbo za konde gang.
Kila unapogeuka ni wimbo wa mtu anahamasisha kufi.rana. sheta anakuambia Bozemba, Harmonize kwenye All night, Diamond amekua kwenye hiyo kampeni tangu kwenye wimbo wa Nyegezi, G Nako kwenye Tumeokoka, watu wanasifia mikvndu left, right and center.
Kweli mkuu ukisikiliza nyimbo kamaYani zamani kipindi cha nyuma enzi za kina mb dog, dazz baba, qchillah ilikua ikitoka nyimbo kama ya mapenzi bas inakua ngoma kweli na inaverse na vina vya kueleweka kiasi kwamba ukisikiliza vinapenya mpaka kwenye moyo but sadly music wa sasa[emoji31][emoji36][emoji30] yani ngoma zinaimbwa ili mradi tu ziende
"Harmonize anakwambia
Shido shido shido waaa
Shidoo shidoo shidowan nobadee
Agodai for yua mata yu de skata my braini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
MWENYE DICTIONARY AJE NAYO
" ps wewe ni goma lipi la sasahv linalokukera!!!?
View attachment 1712039
Sijui kapotelea wapi aisee....Mkuu, huyu Mb. Dogg ndo alinifanya nikaipenda Bongo Flavor.... Namkubali mpaka kesho huyu jamaa
shemeji una enz??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyimbo zote za vijana wa Sikuhizi ovyo tu.. tofauti kabisa na enzi zetu
Ikipigwa WAAH!! ya platnumz Tutakuona una nesanesa kimtindo😆😆Nyimbo zote za vijana wa Sikuhizi ovyo tu.. tofauti kabisa na enzi zetu
😂😂😂😂😂 Eeh ndiyoshemeji una enz??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
😂😂 Waah!! Kaimba nani huo? Msondo au mr.paul?Ikipigwa WAAH!! ya platnumz Tutakuona una nesanesa kimtindo😆😆
Pepe kalee🚶🚶🤣😂😂 Waah!! Kaimba nani huo? Msondo au mr.paul?
🤣🤣🤣🤣 Ooh Ndiyo ule yupo na Felix wazekwa eeh!!!Pepe kalee🚶🚶🤣
🙌🙌😆🤣🤣🤣🤣 Ooh Ndiyo ule yupo na Felix wazekwa eeh!!!