Vin Jr, afuta post zake zote instagram

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
170
Reaction score
377
Winga wa Real Madrid, Vin Jr amefuta picha zote kwenye mtandao wake Instagram leo Jumatano Agosti 5, 2026.

Winga huyo ambaye anahusishwa na Arsenal amefuta picha zote kwenye mtandao huo pamoja na kuondoa 'pofile' picha pamoja na utambulisho wa Real Madrid.
Your browser is not able to display this video.
 
Maelezo hayajitoshelez ndugu mtoa mada
 
Kwamba unamaanisha safari ya kwenda Aseno imeiva?
 
Hapana sio et kwa kwenda arsenal bali ni kwakuwa amekuwa na muonekano mpya ... anataka kujibland upya ili atengeneze pesa kwa makampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…