Vimwana wa Arsenal ...

Hapa napita. Sina mchango wowote. Mke wangu ni shabiki wa arsenal sitaki kumkwaza.

kwanni wasifungwe kwa mtindo huu...................huh

Daaaah!!! mtoa mada hii atakuwa MAN U lazima

arsenal wamefungwa mabao 8 kwa kuwa wamecheza mwezi wa 8 wangetaka.wafungwe machache wangecheza mwezi wa 1 na ole wao wangecheza mwezi wa 12 kila mchezaji angetoka na goli lake na la kocha pia.

Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!
Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?

Madogo wako pouwa xana vile vile wasukuma ndinga wao wako pouwa of coarse lakini nafikiri watakuwa pouwa kupita maelezo wakikua.

Yap waache wanengue ivyoivyo ila vichapo vitabaki palepale hadi vibikini vivulike

du wakwetu hao we the gunnerz!,mtatushinda kwa game lakini mpaka vimwana tunao!

Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!

Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?

ASERNANE HUYOOOOOO!

8888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888! mpaka kuchweee!!!

Walembo sita=8-2( thats why 6 cuties?)ok thanks for that!

arsenal wamefungwa mabao 8 kwa kuwa wamecheza mwezi wa 8 wangetaka.wafungwe machache wangecheza mwezi wa 1 na ole wao wangecheza mwezi wa 12 kila mchezaji angetoka na goli lake na la kocha pia.

Mkuu ulishawahi kusafiri hadi Loliondo?

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…