Vimondo vya Iran vyaanza kutua Israel

Vimondo vya Iran vyaanza kutua Israel

Iran ya mwijaku
IMG_1656.jpeg
 
Ina paja kama la mwanamke ukiondoa kichwa tutajua mwanamke mjamzito huyu
Ndio Iran ya msemaji mkuu kesho subiri kusema yale makombora siyo yeye .katuma baada kushindikana
 
Ndio Iran ya msemaji mkuu kesho subiri kusema yale makombora siyo yeye .katuma baada kushindikana
Unabisha siyo!!..leo hapalaliki telaviv, wizara ya ulinzi inawaka moto,na Iran wamepanga kuvuruga ofisi zote za serikali mpaka asubuhi
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-13-21-56-02-058.jpg
    Screenshot_2025-06-13-21-56-02-058.jpg
    326.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_2025-06-13-21-54-36-049.jpg
    Screenshot_2025-06-13-21-54-36-049.jpg
    212.3 KB · Views: 8
Unabisha siyo!!..leo hapalaliki telaviv, wizara ya ulinzi inawaka moto,na Iran wamepanga kuvuruga ofisi zote za serikali mpaka asubuhi
Subiri kesho muanze kusingizia wayahudi wamemaliza irani
 
Mashoga washaanza kushikwa maeneo nyeti na Iran Iran sio Warabu kitawaka miji yoye ya Israel
 
Netanyahu yupo wapi kioga cha kufa mwambieni kamanda wa Kweli akimbiii MOTO nyumbani kwake
 
Netanyahu alidai wamepiga kwenye makombora ya Iran lkn waandishi wa habari wanashangaa mbona iron inatembeza mkong.ota kama kawaida tena live
 
TELAVIV inawaka MOTO pigaaa aooo wauwaji watoto na kina mama !!

na Msambaza Usodoma mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom