Vimini vya akina dada vinanitoa udenda...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimini vya akina dada vinanitoa udenda...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chitemo, Feb 28, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nipo chuo hapa SAUT(rokct). Mi mwenzenu kila nktoka lecture lazima nijichue kisa vile vinguo wadada wavaa mpaka main entrace ya mbele inaakisi maudhui yaliyomo. Kwa wk napiga mara 5 tena getho. Demu ninaye ila yupo mbali huko kwe2 kusini, kwa hapa chtaj naheshimu ndoa yangu. Naombeni ushauri wa bure wana jf kwani mwli unazoofka kwa kuharbu my expected watoto. NIFANYEJE?
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Soma kijana,
  maisha yapo na yataendelea kuwepo!!!!!
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Punyeto huharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.

  Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenza wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.

  Mpiga Punyeto hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na kina Mwafulani wa mtaani tena sio mtundu kimapenzi, hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta bambucha yake husimama kwa kiwango cha chini sana.

  Madhara mengine yanayopatikana ndani ya kitendo hiki ni kuumwana sana na kichwa, mgongo, kupoteza nguvu za mwili na macho, madhara mengine makubwa khasa mwanamme anaejichua mara mbili au tatu kwa siku ni kushidwa kuzalisha, hii inatokana na kukosekana kwa mbegu komavu za kiume kwenye mfuko wa uzazi.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Demu!....NDOA??Vimini havitaisha leo kwa hiyo punguza unachofanya usije ukashindwa kumshughulikia DEMU wako wa NDOA!
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah, lizzy hii kali!lol....
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehe si kasema mwenyewe jamani!
   
 7. czar

  czar JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Endelea kupiga PULI, kaza buti na skuli vimini ndo fasheni, vipo to stay. So jitahidi kuvizoea. Ukishindwa usijaribu kuja Ulaya na US maana wakati wa summer ni balaa.
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tatizo una DEMU WA NDOA
  ungekuwa na MKE WA NDOA yasingekukuta
   
 9. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ahsante ndugu yangu 4 ur advice. Nimeamua kuacha rasmi punyeto nahc kati ya hayo madhara kuna mengine yamentokea. Pamoja na:
  1. **** inawasha na inauma,
  2. Maumivu makali ya kiuno,
  3. Nimekonda ma kupungua uzto,
  4. Naumwa na tumbo mara kwa mara,
  5. Sometimes najkojole kitandan.
  and so many others
   
 10. CPU

  CPU JF Gold Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Good Guy

  [​IMG]
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hi CPU!
  wewe hupendi vimini?personally nikitaka kuwazungua watu wavaa kimini.
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Punguza ukali wa maneno
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Marytina, Morani wako huwa anakuruhusu uvae vimini,
  ili ukazingue watu?
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hi!ilikuwaje ukachagua hii avatar
  imekaa kimanzese ile mbaya
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kwenye vishughuli vya kikazi au mtaa.
  Sometimes lazima kijikoki ila inatakiwa uangalie wanani watakuepo huko uendako mwenzio asikwazike.
  Jamaa hapendi kabisaa ila nikiwa mtoko na wajomba napiga nitakavyo.
   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani mtumie lugha za staha kuna wakubwa huku mtasababisha waondoke jamvini! Hubu tazama maneno ya Puuuuu hapo chini coloured

  [​IMG] Originally Posted by Puuuuu [​IMG]
  Ahsante ndugu yangu 4 ur advice. Nimeamua kuacha rasmi punyeto nahc kati ya hayo madhara kuna mengine yamentokea. Pamoja na:
  1. **** inawasha na inauma,
  2. Maumivu makali ya kiuno,
  3. Nimekonda ma kupungua uzto,
  4. Naumwa na tumbo mara kwa mara,
  5. Sometimes najkojole kitandan.
  and so many others
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama utajitambua wewe ni mwanamke mwenye heshima na unataka jamii ikuheshimu basi hupaswi kufanya haya HADHARANI
  Ruksa ukiwa na mwenza wako chumbani ua kokote ambapo mpo wenyewe wawili
   
 18. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ndo kwetu huko dear!!!
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hata kwenye masherehe nivae kama MAMA MARIA?
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  I LIKE THAT PLACE because kuna magorofa au nyumba za chini kimbembe kuoga mchana choo/bafu halina mabati
   
Loading...