Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,288
- 2,438
Vibaka wa Kikwete pamoja na Kikwete mwenyewe walihusika kufoji nchi kwani wengi wao walichukua mizigo toka bandarini kwa vimemo bila kulipa kodi.
Shida ya wachangiaji wengi humu hamjui maswala ya uchumi. Hawa wakwepa kodi no watu muhimu wanaoingiza fedha serikalini , wanaajiri watu wengi , ukiwafirisi uchumi unaanguka, shida iko wapi ? Acha walipe kodi walizokwepa na waendelee na bihashara zao, sisi humu tunapiga domo lkn hatuingizii chochote taifamzeelapa toka lini adhabu ya mlipa kodi ikawa ni kulipa ushuru?
Kisheria mtu aliyekwepa kodi anatakiwa kukamatwa, kushtakiwa na kufilisiwa mali ili kulipa fidia ya kodi aliyoikwepa Nukta.
Mwenyewe ameamua kukujibu msikie https://www.facebook.com/KAGUTTA/videos/vb.1636112665/10206962738220367/?type=2&theater
Mwenyewe ameamua kukujibu msikie https://www.facebook.com/KAGUTTA/videos/vb.1636112665/10206962738220367/?type=2&theater
Vimemo havitaendelea, ni nani atathubutu kuomba na kupokea vimemo kwa hali ilivyo sasa? Nina imani hao watoa vimemo watawajibishwa.Kwa hiyo tatizo linaweza kuendelea, kontena zitapita kwa vimemo na ikigundulika basi unamwambia alipe kodi inayotakiwa basi. Lazima kama watu walitumia madaraka yao kulazimisha sheria ipindishwe wawajibishwe sio kuachwa tuu.
Kumbuka wapo walio agiza mambo hayo yafanyike na walikuwa na mamlaka ya kuangalia ajira za hao waliowaamuru kufanya hivyo
naona mawazo yangu yanafanana na wachangiaji wengine. Walipe kodi kwanza ili hizo fedha zifanyie kazi nyingine za kutoa huduma na maendeleo kwa wananchi. Hivi akina Mramba, wamepatikana na hatia ya kusababishia hasara serikali, wamerejesha fedha hizo? si wanakula kodi zetu gerezani. Kodi zilipwe mambo mengine yatafuata.mzeelapa toka lini adhabu ya mlipa kodi ikawa ni kulipa ushuru?
Kisheria mtu aliyekwepa kodi anatakiwa kukamatwa, kushtakiwa na kufilisiwa mali ili kulipa fidia ya kodi aliyoikwepa Nukta.
Kwa akili yako ulitaka akuambie nini, kuwa alihusika au?
mzeelapa toka lini adhabu ya mlipa kodi ikawa ni kulipa ushuru?
Kisheria mtu aliyekwepa kodi anatakiwa kukamatwa, kushtakiwa na kufilisiwa mali ili kulipa fidia ya kodi aliyoikwepa Nukta.
Wewe ungefanya hivyo.kibarua kiote nyasiUlipo pewa kazi hukusoma sheria zilizopo? Kama vimemo vimo vina ruhusiwa ndani ya mkataba wa kazi uliyopewa basi hapo hakuna haja ya kuendelea kukimbizana katika jambo hili la kukusanya ushuru. Unapo pewa kazi fanya kazi hiyo uliyo pewa. Memo memo hizo hazina kumbu kumbu na si part ya sheria za mkataba wa kazi. Ukitumiwa memo tuma memo back kwamba kinachotakiwa ni kufuata sheria za kazi. Kwasababu umepewa memo ukaue unataka baada ya kuua ashitakiwe aliyekupa kamemo ambako kesho ukiambiwa ukaonyeshe ulisha kasahau kwenye koti na bodi kashakafulia kwenye mfuko. Acheni uhuni. Subirini mtumbuliwe tu.
Asilaumiwe JPM, serikali iliyopita ilikuwa dhaifu sana kupita maelezo pamoja na mhe. JK kujishaua kuwa hakuwahi kupeleka vimemo au maelekezo lkn hakuna aisiyefaham jinsi wafanya biashara walivyokuwa wanapishana kwenda Ikulu kila uchao. Sasa unategemea Rais wa sasa asemeje zaidi ya kuwaambia walipe kodi walizokwepa maana ukisema uwakamate na kuwafungulia mashtaka maana yake na bosi mtangulizi naye segerea. Inakuwa ngumu kidogo hapo Mkuu
Mkuu hivi UKAWA ni Muungano wa vyama gani?Kuna tofauti kubwa kati ya CCM na UKAWA.