Hata kama hujui kusoma basi angalia matendo. Napo ukishindwa nasi wewe zuzu au zobaWe una matatizo kicwani ya kupenda kuishi kwa hisia!
CHADEMA MTAHANGAIKA SANA.MTAANDIKA KWELIKWELI.Wakati napewa taarifa hapo mwanzo sikuamini mtonyaji akiwa ni msiri miongoni mwa wasiri wa rais mstaafu mmoja kwamba Proffesa Lipumba ndio kabebeshwa jukumu la kuimaliza CUF. Stori ni ndefu lakini ilikuwa kazi ya kwanza ni kuimaliza GNU ya Zanzibar.
Mission ya Katiba mpya ilipofeli kuimeza katiba ya Zanzibar ambayo ilitoa mwanga wa kupatikana mamlaka kamili, wahafidhina walikuwa na mpango wa pili wa kuivuruga CUf na kupoteza ndoto hiyo. Mikakati ilipangwa na watekelezaji wakapatikana. Hili la lipumba na maelezo ya kuwa Maalim Seif kazungukwa na Zanzibar Nationalists ni woga tu wa wahafidhina na chama tawala kupitia kwa wakala wao. Leo Profesa kadhihirisha kile nilichohadithiwa ajenda yake ya kupoteza CUF na yumkini kuipoteza ajenda ya Muungano wa heshima na mamlaka ya nchi washirika. Hapa ilikuwa lazima Lipumba atumike kwa kila hali.
Kuelekea uchaguzi wa 2015
Baada ya kukosekana mwanya wa katiba mpya kukatengenezwa muungano wa UkAWA ambapo waliobuni miomngoni mwao hawakujuwa lengo la Professa Lipumba.Nawahakikishia kulikuwa na Road Map ya uhakika kuiuwa CUF hapa. Kuja kwa Mh Lowasa baada ya kufanyiwa faulu na CCM kulirahisisha mkakati wa Akina Lipumba kupata exit stragegy ya kuiuwa CUF. Nilishasema siku nyingi Kitendo cha kupendekezwa mzee Duni kujiunga na CHADEMA kuimarisha UKAWA Lipumba alikuwa anatengeneza Kifo cha CUF ili kusiwe na Kaimu Mwenyekiti wakati yeye atakapongatuka.
Alifanya hivyo akiamini katikati ya safari ya ukawa na kuelekea uchaguzi angengatuka na kufuatwa na wanachama wengi na wakurugenzi wengi na hatimae chama kiingie kwenye mgogoro kama uliopo leo na kuiua CUF automatic. Mungu alimfedhehi. Nia njema ya viongozi wa UKAWA ikalivusha jahazi salama na Hongera sana Maalim Seif, Mh Mbowe , Mbatia na Marehemu mzee Makaidi. Hatukushangaa wakati ule wa Kampeni Balozi Seif Ali Idd akiwa Makamo wa Pili wa Rais alipovujisha kuwa mara hii wana mkakati wa kuifuta CUF moja kwa moja sasa ndio tumeelewa.
KUFELI KWA LIPUMBA.
Umakini wa uongozi wa CUf ukiongozwa na Maalim haukutowa mwanya wa mgogoro walimuacha Lipumba pekee na focus ilikuwa ni uchaguzi na UKAWA. Hapa ndipo ambapo wasiojuwa mambo wanaulaumu uongozi wa CUf kwa nini haukuitisha mkutano mkuu kuridhia barua ya kujiuzulu ya Lipumba. Ndio walishagutuka na walielewa kwamba lengo ni kukidhoofisha chama wakati ule. Kitendo cha Lipumba kukosa wafuasi kipindi kile alishafeli kwa hio CUF haikuwa na sababu ya kuendeleza mpasuko katika kipindi nyeti na hakukuwa na sababu tena ya kuitisha mkutano mkuu ambao upo kikatiba na ungekuja tu. Hapa Mkakati wa kwana wa Lipumba na wanaomtuma ulishafeli.
Mkakati wa Pili ni Kutumia mwanya wa Kutenguwa barua ya kujiuzulu. Hapa amekosa nguvu za kisheria na taratibu za Chama chake. Alichofanya ni kutafuta njia yoyote iliyo mbele yake kuingiza mgogoro upya baada ya kufeli ule wa awali. Profesa alishafeli na Project ya waliomtuma ilishafeli. CUF kufanikiwa kufanya maamuzi ya kisheria kwa kutumia vyombo vyake vya maamuzi na kuepuka fujo na jazba kumefelisha mkakati huu. Alitaka kuimarisha fujo na kuvipa mwanya vyombo vya kidola kuchukuwa nafasi yake kukamilisha mission. Yaliyofuata hapa ya uvamizi na kuharibu mali ni ushahidi tosha.
Mkakati wa tatu ni kutumika ofisi ya msajili ambayo bila kujificha imekoleza mgogoro. Kumtambuwa Lipumba kama mwenyekiti kulitosha kujaribu kumpa nguvu na mengine yanafuata. Ofisi ya msajili iko kwenye road map. Kwanza ni kumtambuwa, na Pili ni kumpa mashirikiano ya kiutendaji ili kukigawa chama kiungoozi na hatimae akisimamishe kwa muda na ikibidi akifute. Hili ni jambo zito na mahesabu yake yanaelekea kufeli tena. Ofisi hii imekosa mkakati imara kila mtu timamu anajuwa wanaelekea wapi. Hapa napo CUF tena imengamua mchezo wa karata feki "Dume kuitwa Chupaza" Bado vyombo vya kimaamuzi vya CUF vimechukuwa nafasi yake kuziba mwanya ambao angeutumia Lipumba. Hongera wanamkakati wa CUF na Bodi ya wadhamini kutenguwa bomu la Lipumba na Msajili.
KILICHOBAKI
Kilichobaki kwa sasa ni CUF kujipanga zaidi kisheria na kimataifa kuieleza dunia mchezo huu mchafu wa utawala wa Tanzania. Kilicho nyuma ya Lipumba ni dola nyuma ya wahafidhina. CUF ijipange kisawa sawa katika muhimili wa kisheria na ndio mbinu pekee kuu iliyobaki. Nje ya kutumia Dola kupitia Ofisi ya msajili ikiwa atashindwa kukamilisha Mission itakuwa imebaki mahkama tayari Polisi na vyombo vyengine vilishatumika na kufeli.
MGOGORO WA ZANZIBAR NA TAHARUKI YA LIPUMBA
Wakati hesabu ya wali ilishafeli, kinachoendelea kinachagizwa na mafanikio ya CUF kimataifa kuwaumbuwa watawala wetu waliojificha miaka yote kuwa ni wanademokrasia. Hatua ya CUF kupitia Liberal International kupeleka kilio cha CUF huko UNHCR na hatimae kuungwa mkono na mataifa ya magharibi kumewahumisha watawala. Hivi sasa Lipumba anapewa kila aina ya Msaada na anaonekana kama Malaika anayeweza kuwaokoa na Mafuriko. Hili jaribio litawaumbuiwa wengi. Hili suala la Zanzibar liko level nyengine amininini hivyo. Tusubiri mshindo wake.
ANGALIZO.
Kwa kadiri suala hili linavyokuwa linavuta hisia za kimataifa na ni jaribio lengine linalotia doa Diplomasia yetu na hadhi ya Tanzania. Dola Kumtumia Lipumba na kumpa kila msaada kuivuruga CUF ambayo tayari imepata attention kimataifa na jitihada za suala la Zanzibar kamwe Lpumba Hatofanikiwa. Narejea tena kamwe hatofanikiwa. Anakoleza kidonda ambacho tayari kimejeruhiwa.
Angalizo kwa Prof Lipumba. Ni kawaida ya system kukutumia pale unapohitajika, Hili la kuivuruga CUF likishindwa utakuwa wewe ndio umejiaibisha na nakuhakikishia kwa mambo yanavyokwenda wewe utashindwa. Ukiamini mawazo yangu yasikilize usipoyaamini yawache. " Sikio halipwani kichwa" CUf ni taasisi kubwa . Amini hivyo.
HONGERA UKAWA.
Mwisho hongera ukawa kwa kuimarisha udugu wenu, tahadhari tu msiruhusu mamluki.
Kwa hisani ya msamaria
Nawasilisha
Kishada
Wakati napewa taarifa hapo mwanzo sikuamini mtonyaji akiwa ni msiri miongoni mwa wasiri wa rais mstaafu mmoja kwamba Proffesa Lipumba ndio kabebeshwa jukumu la kuimaliza CUF. Stori ni ndefu lakini ilikuwa kazi ya kwanza ni kuimaliza GNU ya Zanzibar.

Wewe utaendelea kusubiri nguo na kofia za njano na kijani za bwerere tu!cuf lazima ife ili kudumisha jamhuri ya muungano wa tanzania. usilolijua ni kama usiku wa giza nene. kwa matendo ya mfanyabiashara mbowe kuna uwezekano mkubwa anatumika kupitia chadema ili kuvunja muungano. ushahidi wakati wa mchakato wa katiba tuliona jinsi cdm walivyodai mfumo wa muungano ambao ungedhoovisha kabisa muungano kwa kumgeuza rais wa jamhuri na serikali yake kama washereheshaji tu. hapo ndio mtu anaweza kuona ukaribu wa mbowe na maalim seif una lengo gani kwa uwepo wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Kama unadhani huko kwote mataifa ya magharibi yalikaa kimya in sawa huo ni uamuzi wako.Kuna watu mnaamini mataifa ya nje yako kwa ajili ya kuingilia mambo ya watu. Wangeanza Misri, Gabon, DR Congo, Mgabe n,k.
Kilichobaki ni chama kujitambua na kuamua. Haya yanayotokea ndo yale ya NCCR na TLP. Cha msingi waamue wakitaka kuonyeshana ubabe tutaendelea kuilaumu ccm huku tunakufa.
Binafsi mtu akiitaja GANJA, huwa nafarijika sana. Asanteh Sana Mkuu!!Kweli wewe Kishada,Jinsi ulivyochambua hoja nikajikuta kama nakula ganja vile nabembea Jamaica
Mshikamano wa wanaukawa,hapa ndipo unapo hitajika kuliko wakati mwengine wowote.hii habari kubwa sana. ni suala na kusubiri na kuona
Nani ka kwambia road map hii inahitaji jopo kama mlivo zoea????Mhhhh! ni uwongo uliomithilishwa na ukweli huku CCM hakuna mwenye akili hiyo (strategic planning) hata Idara zetu za hamasa hazina, kinachofanyika ni "to capitalise on events" hili la Lipumba sasa nakuhakikishia Lumumba hakuna anayelijua kama mkono ni wa serikali na baadhi ya wanaCCM nje ya Lumumba ingekuwa hili linajulikana Lumumba ungeona a co-ordination response, sisi kwa sasa tunatafuta ni namna gani ya ku "capitalise" na mgogoro huu lakini ngumu na hasa kwa maneno yaliokuwepo kwamba CCM ina mkono tuzaweza tukawacha "foot print" mbaya kwa hiyo tunaangalia tu linavyokwenda na litakavyoisha, kama ndani ya CCM yuko anaelijua basi itakuwa Mkware na idara maalum zake zake tu na some few brains kama Dr. Ramadhan Dau na wale waliokuwa karibu na Lipumba Mtaa wa Idrisa..
Maslahi ya chadema ni makubwa sana kama ilivo maslahi ya cuf na nccr kwa chadema.cuf lazima ife ili kudumisha jamhuri ya muungano wa tanzania. usilolijua ni kama usiku wa giza nene. kwa matendo ya mfanyabiashara mbowe kuna uwezekano mkubwa anatumika kupitia chadema ili kuvunja muungano. ushahidi wakati wa mchakato wa katiba tuliona jinsi cdm walivyodai mfumo wa muungano ambao ungedhoovisha kabisa muungano kwa kumgeuza rais wa jamhuri na serikali yake kama washereheshaji tu. hapo ndio mtu anaweza kuona ukaribu wa mbowe na maalim seif una lengo gani kwa uwepo wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Kama CCM hamuhusiki mnatakiwa muwashushue CUF kwa kuwasaidia kumaliza mgogoro.Mhhhh! ni uwongo uliomithilishwa na ukweli huku CCM hakuna mwenye akili hiyo (strategic planning) hata Idara zetu za hamasa hazina, kinachofanyika ni "to capitalise on events" hili la Lipumba sasa nakuhakikishia Lumumba hakuna anayelijua kama mkono ni wa serikali na baadhi ya wanaCCM nje ya Lumumba ingekuwa hili linajulikana Lumumba ungeona a co-ordination response, sisi kwa sasa tunatafuta ni namna gani ya ku "capitalise" na mgogoro huu lakini ngumu na hasa kwa maneno yaliokuwepo kwamba CCM ina mkono tuzaweza tukawacha "foot print" mbaya kwa hiyo tunaangalia tu linavyokwenda na litakavyoisha, kama ndani ya CCM yuko anaelijua basi itakuwa Mkware na idara maalum zake zake tu na some few brains kama Dr. Ramadhan Dau na wale waliokuwa karibu na Lipumba Mtaa wa Idrisa..
Umekoti uzi ote ili useme: SAFI SANA.Safi sana!
NGUVU YA KALAMU NADHANI UNAIJUACHADEMA MTAHANGAIKA SANA.MTAANDIKA KWELIKWELI.
Kama unadhani huko kwote mataifa ya magharibi yalikaa kimya in sawa huo ni uamuzi wako.