Vimbwanga vya miti duniani!

Vimbwanga vya miti duniani!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Mti huu! hii tena.jpg Mti huu! hii.jpg Mti huu!.jpg Mti huu!.zen.jpg mtie.jpg mtiii.jpg
 
Hyo no. 2 sipati picha ukelele wake maana imetight si mchezo.
 
Daah,KAMA ni uumbaji asilia basi Muumba anahitaji sifa za pekee ila KAMA ni sanaa basi maombi yanahitajika sana kukemea maovu haya.
 
Nawaaminia wanaume hawadharau ........... na hata ikimithilishwa basi atareact, mtizame jamaa na kapelo!
 
Hao lazima watakuwa watu wa enzi ya Adili na Nduguze, pengine laana iliwakuta wakati wa kitendo na kubadilika kuwa miti.
 
dah. aisee nimezipandisha baada ya wewe kusema hivyo
 
Back
Top Bottom