Vimbwanga vya FACEBOOK.....!! hahahaha

Haaah, haah walah kwa mtindo huu unaweza ukatongoza zimwi!!!! Yethuu na Maria na Yosefu Mchumbaake!!
 
Haaah, haah walah kwa mtindo huu unaweza ukatongoza zimwi!!!! Yethuu na Maria na Yosefu Mchumbaake!!

ndio hapo chahcha kutongoza mademu misowajua wala kuwaona sura, sababu tu ameweka nice profile pic!
 
Kazi ipo hakuna anaetaka kuzeeka siku hizi
 
Faida ya domo zege ndiyo hiyo, mtaani si wamejaa tele tena Live bila chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…