babukijana JF-Expert Member Jul 21, 2009 13,141 16,055 Oct 26, 2010 #1 http://www.youtube.com/watch?v=qJ6-o-EMZic
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,174 Oct 26, 2010 #2 Ningependa kufahamu maoni yako vilevile badala tu ya kuangalia hicho kideo
babukijana JF-Expert Member Jul 21, 2009 13,141 16,055 Oct 26, 2010 Thread starter #3 Rutashubanyuma said: Ningependa kufahamu maoni yako vilevile badala tu ya kuangalia hicho kideo Click to expand... mkuu sina cha kuongezea maana ni sawa tu na wanavyofanya wabunge wetu hapo dom.
Rutashubanyuma said: Ningependa kufahamu maoni yako vilevile badala tu ya kuangalia hicho kideo Click to expand... mkuu sina cha kuongezea maana ni sawa tu na wanavyofanya wabunge wetu hapo dom.
PAS JF-Expert Member May 3, 2010 454 8 Oct 26, 2010 #4 Ila si unaona democrasia yao ilivokua juu.. Yan wanatupiga bao
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Oct 26, 2010 #5 Duh!mambo yao,kama watoto kabisa wakati mwingine!!!
babukijana JF-Expert Member Jul 21, 2009 13,141 16,055 Oct 26, 2010 Thread starter #6 TUKUTUKU said: Duh!mambo yao,kama watoto kabisa wakati mwingine!!! Click to expand... nimechoka kabisa,inaelekea hawapendi kabisa kuwepo humo ndani,basi tu wafanyeje maana mshiko wa mwisho ndo wanahitaji.
TUKUTUKU said: Duh!mambo yao,kama watoto kabisa wakati mwingine!!! Click to expand... nimechoka kabisa,inaelekea hawapendi kabisa kuwepo humo ndani,basi tu wafanyeje maana mshiko wa mwisho ndo wanahitaji.