mi kwa kweli 2014 sitaki kusikia haya
-acting za kova na mabindukia yake ITV
- sredi za kuchunwa na kupigwa vibuti JF
-natamani nisisikie makorokocho ya wasanii kwenye magazeti ya shigongo yani sijui nafanyaje hili
-natamani nisisikie miss tanzania inaandaliwa mwaka 2014 nimelichoka
-natamani kamati ya olimpiki isiende urusi mwaka huu,namaanisha kamati sio wachezaji
-natamani habari za michezo redio one zisitangazwe na maulid kitenge this year
-natamani kutokusikia blah blah za sumaye na kukataa kuwa sio mla rushwa
-natamani nisisikie visingizio vya wanafunzi kufeli kuwa ni madaraja kwa mwaka huu
-natamani bunge la mwaka ujao lisiwe na spika huyu huyu ,ish sijui ndo nshakuwa mhaini?
-natamani nisisikie habari za watu kuuana sababu ya mapenzi,waachane tu kirohho safi kwani nini bana!imekuwa sukari hiyo au sabuni kuwa inaisha?
-natamani nisisikie miziki ya kwaito kwenye harusi,sijui itakuja ipi mengine!aaargh
mweee natamani vitu vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ah !
thanks kwa kunisaidia pa kusemea
una akili sana wewe
wishing yu a HAPPY NEW YEAR rafiki!
- Lukuvi..hili jina nimelichoka..duh natamani apewe ubalozi kama yule mama batilda buruhani..nilimchoka na wish yangu ikatimia
- muungano...nimeuchoka natamani uvunjike
- kanga moja..hili kundi natamani watiwe segerea wote..nimewachoka
- Malawi..nimewachoka na mgogoro wa kung'ang'ania ziwa..bora tupigane vita lijulukane moja.
- Jukwaa la siasa JF..nimelichoka...limevamiwa na washabiki wa watu binafsi wanaolipwa kushinda mtandaoni kuzusha na kutukana..limeshusha hadhi ya JF ..bora lifungwe mwaka 2014 na lianzishwe JUKWAA LA MASHAURI YA KIUCHUMI ili tuishauri serikali mambo muhimu ya kiuchumi kuliko ushabiki wa kitoto
ni hayo kwa sasa
Vitu gani vilikuchosha mno
kuvisikia na
unatamani usivisikie tena mwaka 2014
upate tu break ya kuvisikia?
mimi najaribu orodhesha binafsi ambavyo natamani
nisivisikie.....kabisa ikiwezekana..
1. Mwigulu Nchemba hili jina limenichosha kabisa kulisikia
kama akiteuliwa ubalozi hivi huko New Zealand hivi itakuwa safi kwa
kweli..
2.Mgogoro wa CHADEMA na Zitto ..natamani uishe
kwa uamuzi wowote hilo tujadili mengine
3. Mpira wa fitina ..mara Rage sijui nini,mara ukabila TFF
wakati wenzetu mwaka huu wako Brazil kwenye World Cup..
4.Threads za punyeto JF....dah kwa kweli hili limetosha now
tusha jadili na kushauri,mwingine mwenye tatizo ajaribu tu ku search..
5.Wema Sepetu....its time huyu aolewe na azae watoto sasa
aanze kuishi her age ...sio katoto tena..
6.Diamond.. natamani nisikie nyimbo zake tu..
mengine ikibidi nisisikie...yamenichosha masikio..enough sasa
7.Bongo movie...hivi lini tutasikia movie ya ukweli?
yenye actors wa nje na ndani ikibidi?
mengine ongezeeni....
snowhite
King'asti
Ennie
Kaunga
EMT
Dark
City
Kasinde
Heaven on
Earth
Mtambuzi
platozoom
Power to the People
hiyo ya kwaito imenichosha asee sijui niache kwenda harusiniiii?we umechoshwa na mengi aisee
hadi kwaito? lol
ila spika naona amechokwaa hadi basi.
wewe huntakii mema wewe.hasa hiyo statement ya mwisho uuuuuuwihpia nimechoka kulipwa mshahara nataka nipewe posho kila ninapoenda kazini kama posho za wabunge na si kusubiri mwisho wa mwezi, siku nisipokuja kazini nisipewe posho.