Vile mashauzi yalivyoniumbua

Akili zenu zinawazaga mtongozo tu.
 
Pole halafu safi na Kisha koma!. Ndo muache ubishi mnajionaga Sana nyie wadada tena ningalikuwepo ningelipanda nawewe hiyo gari nikautangazie uma humo garini..🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu mwamba n mpambanaji hakujali kizuiz na changamoto aliyokutana nayo n kusonga mbele tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilaa watu...
 
Nimependa hapo mwishoni.. Wakaka kwenye mambo yetu wanatustiri sana..

Mimi mwenyewe Mwezi ulioisha nipo kwenye heka heka zangu.. nilikuwa nimevaa gauni..Kumbe kwa chini zipo imeachia ila juu haina shida.. Gauni zile za kuvaa na mkanda..

Mara ghafla sina hili wala lile nimeingia Duka moja ni Mkaka anauza.. Uzuri tulisalimiana vizuri tu.. ile naingia kugeuka akaniambia Dada hiyo gauni yako imeachia.. Kushika ilipoachia sasa.. Nilichoka.. ila Mkanda niliokuwa nimevaa ndiyo ulibana pasionekane kwa haraka..Kilichofuata ilikuwa kuangalia namna ya kuitengeneza.. Ila ile hali ilinikosesha raha nikijiuliza muda iliyoachia na watu ni wengi kiasi gani wameniona..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa nzuri hongera sana
 
Hii kusalimia wamama hata mimi sipendi, unaweza jikuta umekisalimia kitoto kidogo chenye umbo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…