Vile mashauzi yalivyoniumbua

😂😂😂😂😂😂😂
 
Tamka neno kwa Mungu,kifua changu kipate nguvu.

.........
Najua kunichapa huwezi😉😂
Dadangu pia anaumwa kifua leo. Hivi vifua kuna namna?

_______________

Kama Bwana aishivyo umeisha kuwa mzima. Nenda sasa nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana na jinsi alivyokuhurumia 🙏
 
Dadangu pia anaumwa kifua leo. Hivi vifua kuna namna?

_______________

Kama Bwana aishivyo umeisha kuwa mzima. Nenda sasa nyumbani kwa jamaa yako ukawaeleze mambo makuu aliyokutendea Bwana na jinsi alivyokuhurumia [emoji120]
Sijui ndio Corona imekuja kivingine[emoji134].
Sasa mwili wote unauma.
Nimerudi kulala[emoji2356].

...........

Amen baba mtumishi[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sijui ndio Corona imekuja kivingine[emoji134].
Sasa mwili wote unauma.
Nimerudi kulala[emoji2356].

...........

Amen baba mtumishi[emoji120][emoji120][emoji120]
Aisee, pole sana.

Nashauri ukapime kesho (kama ukiamka hivyo)

_________________

Our God is so faithful ati mtumishi mwenzangu.....we'll get through this 4th wave unscathed.

Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
 
I will be fine baba mtumishi.

Nililala ,sasa nimeamka angalau najihisi nafuu.

Si unajua last born akiumwa anavyodeka[emoji6].

Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Kesho tutaendelea na majukumu ya kuupiga mwingi kama mama.
 
Safi last born wa mama, wacha nirudi tena magotini.

Ewaaa, tutaupiga mwingi sana mpaka utoke nje 🤣🤣
 
Safi last born wa mama, wacha nirudi tena magotini.

Ewaaa, tutaupiga mwingi sana mpaka utoke nje [emoji1787][emoji1787]
[emoji847][emoji847]

Tuupige mwingi kama pale kijani kibichi wanavyoupiga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088]
 
Same nigaa 😂😂😂😂
 
Mkuu muda mwingine wakiwa bleed wanakuwa na hasira tu, labda kwasababu ya kujisikia vibaya kuumwa kichwa na tumbo.. moody inaharabika pia
 
Basi dada.

Simple tu. Kila champagne Ina kiwayapalek. Kwenye mfuniko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…