Tunawajengea wenetu makaburi
Ile Pspf mbona zipo ghorofa 32? Hizo 35 zinatoka wapi tena?
Ni kazi ya wasanii au unasemaje? wasanii wabuni na kuhimiza usahihi wa sauti za kiswahili..lahaja ya kiswahili intakua nzuri kwenye dunia ya sasa...
wenzetu wako-mbali kutokana na lugha zao!! lakini ni vizuri tukajufunza na lugha nyingine...
Ili kiswahili kipate nafasi yake katika zama hizi za mawasiliano!!
Upo sahihi mkuu..hili hapa
Hii construction boom sijui inaendana na demands za office space hapo down town? Maana isije kutokea hayo majengo yakawa wazi kwa kukosa wakodishaji! Jambo ambalo litakuwa hatari kwa afya ya mifuko ya jamii, na kushindwa kulipa mafao ya wastaafu.
Coming soon.....#GhostBuildings