Nilikaa ktk jumla ya vikosi vinne wakati huo ni kuruta bdae service man,Ruvu,Nachingwea,MMJKT na Mgulani. Kikosi shoka kilikuwa Nachingwea sijui kama matatizo ya ukosefu wa maji safi na umeme yaliisha kwisha! Hata wakufunzi walikuwa wamekata tamaa sana!