SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 141
Habari wana jamvi, mimi ni mjasiliamali nimeanza kutengeneza mabanda kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba kujuzwa kama naweza kupata vifaranga vya nguruwe maeneo tajwa hapo juu. hata kama nitahitajika kuweza oda ya vifaranga vya nguruwe au kama kuna mwanajamvi anafahamihana na mtu yeyeto mwenye kujishughurisha na ufugaji wa nguruwe maeneo hayo nitashukuru kupata mawasiliano yake.
pia tunaweza kushirikishana kwa kupeana mbinu na changamoto kwenye ufugaji wa nguruwe na kuku wa kienyeji katika maeneo tajwa hapo juu
nimeanza shughuri ya ufugaji katika kijiji cha miteza, wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani.
no yangu 0765510492
0715034565