Vikao vya Bunge na anguko la CCM

Safi mkubwa,hilo ulilolielezea hapo lipo karibu sana, anguko lawalidhani litakuja miaka 100 ijayo, no!ni hapo 2015 tu, tunaanza nao kwenye serikali za mitaa kwa nguvu zote mwaka 2014 the tunaruka nao 2015.IMEKULA KWAO.[/QUOTEHapa umekumbusha kitu cha msingi sana mkuu. Uchaguzi wa serikali za mitaa ndo base ya uchaguzi wa 2015. CDM wanatakiwa kutumia misuri yote katika huu uchaguzi maana ndo unaotumika kutengeneza base ya wananchama.Nadhani cdm wanalijua hili na hawatalipuuzia maana ni muhimu sana kuwa na viongozi waliookaribu na wananchi kama wajumbe wa serikali zaa vijiji na mitaa.Pia cdm kunahaja ya kuwa na mfumo wa mabalozi wa nyumba kumi. Magamba huwatumia hawa watu kuwashawishi watu wasiokuwa na uelewa hasa akina mama wanaoshinda majumbani na hawajui kinachoendelea.Kimsingi kuanzia 2012 uwe ni mwaka wa mapambano hadi 2014 mpaka kieleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom