L lebara JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 646 Reaction score 842 May 22, 2015 #41 Matola said: Kumbe sikujuwa kama mimi siyo Mtanzania!!:-/ Click to expand... waweza kuwa ndugu ya nkurunziza
Matola said: Kumbe sikujuwa kama mimi siyo Mtanzania!!:-/ Click to expand... waweza kuwa ndugu ya nkurunziza
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,043 May 22, 2015 #42 Wanatapatapa tu hawana jipya!
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,659 Reaction score 28,838 May 22, 2015 Thread starter #43 Chibolo said: Wanatapatapa tu hawana jipya! Click to expand... Kabisaa..
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,513 May 22, 2015 #44 Simiyu Yetu said: Mkuu jiandae kivingine kabisa utashangaa sana kuona ccm ikishinda tena mkuu. Click to expand... NADHANI HII YAKO NI YA MCHANA KWEUPEEE... UNAOTA HUKU UMESIMAMA KITUO CHA 5 5:madgrin:
Simiyu Yetu said: Mkuu jiandae kivingine kabisa utashangaa sana kuona ccm ikishinda tena mkuu. Click to expand... NADHANI HII YAKO NI YA MCHANA KWEUPEEE... UNAOTA HUKU UMESIMAMA KITUO CHA 5 5:madgrin:
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 May 22, 2015 #45 kuendelea kuchagua chama hiki ni kuendelea kuiumiza nchi yetu.
Mtazama MAMBO Senior Member Joined May 20, 2014 Posts 159 Reaction score 24 May 22, 2015 #46 igp said: Mkuu unadani ni kazi rahisi kupanda mmea kwenye rami ukamea? Ni vema mkawaza vizuri vinginevyo presha ya moyo mnayo. ccm ni chama kikubwa hakijaanza kufanya viko leo siku zote kimekuwa kikitoka salama kabisa na maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa. Click to expand... Maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa! Kweli we igp wa kichina.
igp said: Mkuu unadani ni kazi rahisi kupanda mmea kwenye rami ukamea? Ni vema mkawaza vizuri vinginevyo presha ya moyo mnayo. ccm ni chama kikubwa hakijaanza kufanya viko leo siku zote kimekuwa kikitoka salama kabisa na maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa. Click to expand... Maamuzi thabiti yenye tija kwa taifa! Kweli we igp wa kichina.