Vikao vimefanyika EAC na SADC kwa njia ya video kujadili Corona, ila Tanzania ikajiweka pembeni imenuna kweli kweli

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,698
48,504
Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.

Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?

Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.

Wewe ndio maana nakwambia kila cku umekomaa kuanzia shingoni kuja chini na sio juu, hivi ujiulizi Kama Tanzania kingereza kinatusumbua mawakili wetu waliwezaje kushinda kesi kibao tena zikiwa zimefunguliwa nje na mawakili hao wazungu na bado wa bongo wakatoboa
 
Acha ujuha kijana.

Secretary General wa SADC ni Dr Stergomena Tax a Tanzanian national yeye ndio anaendesha SADC yote tokea Gaborone Botswana for the past 10 years:-:)

Zaidi ya hap current chair wa SADC ndio Mzee baba JPM na all Work Group chairs ni respective ministers wa Tanzania mpaka hapo our chairmanship expires sometimes this year.

Uliza kabla ya kupost vitu vingine.

Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo, bado Tanzania imewanunia na hao pia, ndugu zetu wa kusini hamuoni kama mnajitenga na huo ubabe wenu, enzi hizi za utandawazi hamuwezi kusafiri wenyewe.

Kama tatizo ni lugha ya Kiingereza, mnaweza mkapewa mkalimani awasaidie, muhimu mkahudhuria hivi vikao ili muuze hizo sera za mapaipai na maparachichi kupatikana na corona, pia utaalam wenu wa kufukiza, mtasiklizwa sana, acheni kununa, sijui mbona mna hasira hivi siku hizi?

Hii video hapa rais wa Afrika Kusini akileleza alivyojaribu kuihusisha Tanzania bila kufanikiwa.

tatizo lenu wakenya ni malimbukeni wa wazungu, mnategemea fikra za wazungu zaidi utadhani mmekatwa vichwa

Ndio maana nikasema wewe uliye huru kifikra hudhuria kikao huku ukitumia Kisambaa chako, kama kingereza kinakupiga chenga.
Nje ya Kenya, hakuna jirani yako mwingine ambaye mnaelewana kwa lugha, ndio maana huwa tumewabeba.
 
Acha ujuha kijana.

Secretary General wa SADC ni Dr Stergomena Tax a Tanzanian national yeye ndio anaendesha SADC yote tokea Gaborone Botswana for the past 10 years:-:)

Zaidi ya hap current chair wa SADC ndio Mzee baba JPM na all Work Group chairs ni respective ministers wa Tanzania mpaka hapo our chairmanship expires sometimes this year.

Uliza kabla ya kupost vitu vingine.

Sasa chair halafu umegomea Chato, vikao vikubwa namna hii unakwepa...aisei hiki kirusi bana..
 
Ndio maana nikasema wewe uliye huru kifikra hudhuria kikao huku ukitumia Kisambaa chako, kama kingereza kinakupiga chenga.
Nje ya Kenya, hakuna jirani yako mwingine ambaye mnaelewana kwa lugha, ndio maana huwa tumewabeba.
je kuhudhuria vikao kumewapunguzia case za corona mbona namba zinaongezeka daily??

kujitambua ni hatua ya kwanza kuelekea ushindi hivo mwisho wa siku tutaishinda corona kwa mbinu zetu na si kucopy kama mfanyavyo nyie
 
Kusuasua na kujikokota mithili ya konokono kwenye kila jambo, hata kwenye masuala nyeti kama haya, ndio kasumba yao. Utasikia wakitupia vijisababu vya ajabu ajabu, kuhusu kilichosabibisha akose kuhudhuria vikao hivyo. Kama eti teknolojia iliyotumiwa kuwezesha vikao hivyo ndio inatumiwa na mabeberu kusambaza kirusi cha COVID-19.
 
Hivi majuzi kikao kimefanywa na marais wa EAC kujadili Corona, walitumia mfumo wa utaalam wa video, Tanzania ikanuna haikushiriki, leo kikao kimefanywa na mataifa ya SADC kupitia njia hiyo hiyo,
"....with Heads of State and Government of countries neighbouring South Africa"

Usijialike kwenye sherehe isiyokuhusu, utaumbuka na suti yako
 
Sikiliza neno "especially" kisha tafuta maana yake.
 
Back
Top Bottom